Meneja wa Wakala wa Barabara nchini Tanroad Mkoani Tanga,Mhandisi Alfred Ndumbaro akiwasilisha taarifa ya mpango wa barabara kwenye kikao hicho
Mkuu wa wilaya ya Handeni,Godwin Gondwe kushoto akibadilishana mawazo na Mbunge wa Jimbo la Handeni,Omari Kigoda kabla ya kuanza kikao cha pili cha bodi ya barabara
Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM) kulia akiteta jambo na Mhandisi wa Ujenzi wa Halmashauri ya Korogwe,Daudi Gao kabla ya kuanza kikao cha bodi ya barabara picha ya kwanza ni Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini (CCM)Marry Chatanda akiteta jambo na Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso
Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)Jumaa Aweso akiteta jambo na Mkuu wa wilaya hiyo,Zainabu Issa wakati wa kikao hicho
Meneja wa Wakala wa Barabara nchini Tanroad Mkoani Tanga,Mhandisi Alfred Ndumbaro akifuatilia kwa umakini jambo katika kikao cha bodi ya barabara leo
Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini,(CCM)Omari Kigoda kushoto akiteta jambo na Mkuu wa wilaya ya Handeni,Godwin Gondwe wakati wa kikao cha pili cha bodi ya barabara
Mbunge wa Jimbo la Kilindi (CCM) Omari Kigua akipitia maelezo kwenye kabrasha kabla ya kuanza kikao cha bodi ya barabara
Mkuu
wa wilaya ya Muheza,Mhandisi Mwanasha Tumbo kulia kushoto ni Mkuu wa
wilaya ya Kilindi wakifuatilia kwa umakini kikao cha bodi ya pili cha
barabara leo,Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha
0 Maoni