Unordered List


WAZIRI MHAGAMA AAGIZA HALMASHAURI ZOTE NCHINI KUTENGA MAENEO KWA VIJANA


 Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu sera, bunge, kazi, ajira na wenye ulemavu Jenista Mhagama, akivishwa skafu na vijana wa skauti wa Mkoa wa Simiyu kabla ya kupokea maandamano ya amani ya vijana katika Uzinduzi wa Wiki ya Vijana,  Uwanja wa Sabasaba Mjni Bariadi.







 Baadhi ya Vijana wa Mkoa wa Simiyu wakionesha mabango yenye jumbe mbalimbali kwa Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu sera, bunge, kazi, ajira na wenye ulemavu Jenista Mhagama ambaye alikuwa mgeni rasmi katika Uzinduzi wa Wiki ya Vijana Mjini Bariadi.


 Kikundi cha Brass Band cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Mgulani Dar es Salaam wakiwaongoza vijana katika maandamano ya amani kuelekea uwanja wa Sabasaba Mjini Bariadi ambapo wiki ya vijana imezinduliwa rasmi leo.

Chapisha Maoni

0 Maoni