Alhamisi, 27 Oktoba 2016

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA ASKOFU MKUU BEATUS KINYAIYA WA DODOMA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dodoma, Beatus Kinyaiya kabala ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu mjini Dodoma Oktoba 27, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dodoma, Beatus Kinyaiya (katikati) na Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kikristo ya Huduma za Jamii, Peter Maduki (kushoto), Ofisini kwake jijini Dar es salaam Oktoba 27, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dodoma, Beatus Kinyaiya, Ofisini kwake mjini Dodoma Oktoba 27, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Gadget

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu