Rais
wa Chama cha Wauguzi Tangania(TANNA) Paul Magesa akimkabidhi zawadi ya
shukrani kwa kushiriki nao Waziri wa Afya ,Maendeleo ya
Jamii,Jinsia,WZee na Watoto.
Wakati
watanzania wakiendelea kuchanga fedha na mahitaji mengine kwa
waathirika wa tetemeko la ardhi lililotokea mkoani Kagera,Wauguzi
waliohudhuria mkutano huo nao walichanga kiasi cha shilingi 4,196,500/=
na kumkabidhi Waziri Ummy Mwalimu ili afikishe mchango wao na pole kwa
mkoa huo(picha na Catherine Sungura,WAMJW).
Wauguzi
toka mikoa mbalimbali nchini wakimsikiliza waziri wa afya wakati wa
mkutano huo,ambapo kwenye hotuba yao waliomba kulipwa posho na
malimbikizo ya sare za wauguzi kiasi cha shilingi 120,000/=
0 Maoni