Jumapili, 20 Novemba 2016

MBUNGE WA JIMBO LA DONGE AZIDI KUWEKEZA NA KUIMARISHA SEKTA YA ELIMU JIMBONI KWAKE.

 Na Alawi H. Foum.

 Mh Sadifa Juma Khamis Mbunge wa Jimbo la Donge *(MNEC*) leo alishiriki ujezi wa shule ya chekechea( *BABUSO*) shule hiyo itakuwa na madarasa mawili makubwa na ofisi moja ya walimu ujenzi huo umefuata baada ya wananchi wa shehia ya Donge Chechele kumuomba Mh Sadifa awajengee shule hiyo ili kuwapunguzia umbali wa masafa watoto wa shehia hiyo ambao kwasasa wanasoma shule ya nje ya shehia yao wanapata tabu. Mwenyekiti wa Vijana Taifa ambae pia ni Mbunge wa jimbo hilo la Donge katika ujezi huo kwa hatua za awali Mh Sadifa amefanya yafuatayo 1. Amenunuwa eneo la ujenzi. 2. Ametoa gari sita za mawe. 3. Matofali alfu mbili. Wakati akishiriki ujenzi huo Mh Sadifa alishiriki kukata minazi ilikuwemo ndani ya kiwanja hicho na kuchimba msingi aliwataka wananchi waendelee kujitolea kwenye ujenzi huo ila hatawaacha bure bure atawakumbuka hata kwa sabuni na aliwakabidhi kiasi cha fedha taslim Shiling Laki moja
Mhe:Sadifa Juma Khamis Mbunge wa Jimbo La Donge akishiriki ukataji wa minazi iliokuwemo ndani ya kiwanja hicho
 Mhe:Sadifa Juma Khamis Mbunge wa Jimbo La Donge akishiriki Uchimbaji wa Msingi Katika jengo hilo.
Baadhi ya Mafundi na Wananchi Walio Shiriki zoezi hilo
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Gadget

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu