Ijumaa, 11 Novemba 2016

RAIS MAGUFULI AOGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJU KUAGA MWILI WA MAREHEMU MZEE SAMWEL JOHN SITTA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

1Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda akimpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili kuwaongoza waombolezaji kuaga mwili wa Marehemu Samwel John Sitta Spikaal wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam Novemba 11,2016
2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimia na Makamu wa Rais Samia Hassan Suluhu na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Wiliam Mkapa alipofika kuwaongoza waombolezaji kuaga mwili wa Marehemu Samwel John Sitta Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam Novemba 11,2016
41Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na makamu wa Rais Samia Hassan Saluhu,  wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Samwel John Sitta Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam Novemba 11,2016Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mke wake Mama Salma Kikwete wakiwasili Msibani.Msemaji wa Chama cha Mapinduzi Ndg:Christopher Ole Sendeka akitoa Salamu za Pole kwa Wafiwa toka Chama Cha Mapinduzi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwaongoza waombolezaji kuaga mwili wa Marehemu Samwel John Sitta Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam Novemba 11,2016
 1fgsfsxgxvg
unnamed-1 
Rais Mstaafu wa awamu awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiaga mwili wa Marehemu Samwel John Sitta Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam Novemba 11,2016
3Rais Mstaafu wa awamu awamu ya tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin Wiliam Mkapa na mkewe Anna Mkapa wakiaga mwili wa Marehemu Samwel John Sitta Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam Novemba 11,2016

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akitoa heshima za Mwisho katika Mwili wa Marehemu John Samweli Sitta


Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Ndg:Antony Mtaka akitoa heshima za Mwisho katika Mwili wa Marehemu John Samweli Sitta

 

Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Gadget

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu