Ijumaa, 4 Novemba 2016

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AONGEA NA WAHARIRI, WATANGAZAJI NA WAANDISHI WA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM NOVEMBA 4,2016

1jhdfdh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Wahariri, Watangazaji na Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya habari Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 4,2016
2 baadhi ya wapigapicha wakichukua matukio katika mkutano wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipoongea na Wahariri, Watangazaji na Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya habari Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 4,2016
e2

3Mkurugenzi wa Azam Media Tido Muhando akiuliza swali  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokua akiongea na Wahariri, Watangazaji na Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya habari Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 4,2016
e4

e9Mwandishi wa habati wa  Shirika la utangazaji BBC Sammy Awami akiuliza swali  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokua akiongea na Wahariri, Watangazaji na Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya habari Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 4,2016
e10Mhariri mtendaji wa magazeti ya Serikali (TSN) Dr. Jim Yonazi akiuliza swali  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokua akiongea na Wahariri, Watangazaji na Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya habari Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 4,2016
4

6

7Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na msanii wa Mrisho Mpoto mara baada ya kuongea  na Wahariri, Watangazaji na Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya habari Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 4,2016
8Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na katibu Mkuu Ikulu Peter Iromo na wanahabari wa vyombo mbalimbali baada ya kuongea na Wahariri, Watangazaji na Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya habari Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 4,2016
10Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na katibu Mkuu Ikulu Peter Iromo na wanahabari wa vyombo mbalimbali baada ya kuongea na Wahariri, Watangazaji na Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya habari Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 4,2016
11Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na katibu Mkuu Ikulu Peter Iromo na wanahabari wa vyombo mbalimbali kutoka nje ya Tanzania baada ya kuongea na Wahariri, Watangazaji na Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya habari Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 4,2016 (Picha na Ikilu)
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Gadget

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu