Jumatano, 2 Novemba 2016

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA NA MATUKIO BUNGENI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Waganga wa Tiba Asili Tanzania waliotembelea Bunge kwa mwaliko wa Makamu Mwenyekiti wao ambaye pia ni Mbunge wa Korogwe Vijijini, Stephene Hillary Ngonyani maarufu kwa jina la Profesa Maji Marefu, Novemba 2, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Bunda, Esther Bulaya kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 2, 2016.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Kunti Majala kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 2, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya wabunge kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 2, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu