Jumatatu, 19 Desemba 2016

KAIMU KATIBU MKUU UVCCM SHAKA HAMDU SHAKA ATEMBELEA MPAKA WA RUSUMO UNAOTENGANISHA NCHI YA TANZANIA NA RWANDA LEO.

 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC)pamoja na Viongozi wa ngazi ya mkoa Uvccm akipanda kivuko cha MV RUVUVU wilayani Ngara akielekea katika Mpaka wa boda ya RUSUMO.
 Safari ikiendelea kuvuka mto RUVUVU Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC)akizungumza na Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya ngara pembeni yake Ndg:Faris Mohammed
  Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC)pamoja na Viongozi wa ngazi ya koa Uvccm akitelemka katika kivuko cha MV RUVUVUkata ya Rusumu akielekea katika Mpaka wa boda ya RUSUMO.
 Afsa Forodha katika kituo cha Boda ya Mpaka wa Rusumounao tenganisha Nchi ya Tanzania na Rwanda akimkaribisha Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) na kutoa Ufafanuzi juu ya Maswala Mbali mbali katika boda hiyo mara baada ya kuwasili katika Ofisi izo.
 Mkuu wa Wilaya ya Ngara Ndg Luten Kanal Michael Mtenjele akitolea Ufafanuzi wa Maswala Mbali mbali yanayo Wakabili Ma Afsa katika Boda ya Rusumu Mpaka wa  Nchi ya Tanzania na Rwanda.
 Kaimu Katibu Idara ya Hamasa,Sera ,Utafiti na Mawasiliano UVCCM Taifa akizungumza kumkaribisha Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka kuzungumza  na Viongozi katika Boda ya RUSUMO.
 Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka akizungumza katika kikao hicho
  Afsa Forodha katika kituo cha Boda ya Mpaka wa Rusumo akimuonyesha Ndg Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka na Msafara alioambatana nao Mandhari ya maeneo katika eneo la Mpaka wa Boda ya Rusumu.
   Afsa Forodha katika kituo cha Boda ya Mpaka wa Rusumo akimuonyesha Ndg Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka Mandhari katika eneo la Daraja la Mpaka wa Boda ya Rususmu linalo tenganisha Nchi ya Tanzania na Rwanda.
 Ndg Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka akifafanuliwa Jambo na Inspekta Tom Obonyo Mkuu wa kituo Cha Rusumo kuhusu changamoto mbali mbali zinazo tokea katika Mto Rusumu Uliopo katika mpaka wa Boda ya Rusumu
Msafara wa Ndg Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka ukivuka daraja la Mpaka wa Boda ya Rusumo Mara baada ya kutembelea maeneo mbali mbali ya mpaka huo na kuelekea Wilayani Karagwe katika muendelezo wa  ziara  ya siku 8 Mkoani Kagera ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM 2015_2020
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu