Mwenyeki Wa UVCCM Taifa Sadifa Juma Khamisi na Mjumbe Wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi akisalimiana na Wajumbe wa NEC mara baada ya Kuwasili katika ukumbi Wa Mkutano
Sehemu ya Viongozi Wakuu wa Chama
Sehemu ya Wajumbe wa Kamati kuu ya Chama
Katibu Wa Itikadi na Uenezi Nape Moses Mnauye akimkaribisha Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na Makamu Mwenyekiti wa (CCM Zanzibar) Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Philip Mangula kabla ya kuanza kikao hicho jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Chama Cha Mapinduzi Ndg:Abrahmani Kinana akizungumza Na Wajumbe wa Halmashauri kuu Na KUMkaribisha Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi DKT.John Pombe Magufuri Kufungua Mkutano wa Halmashauri kuu ya CCM leo
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa NEC kabla ya kufungua rasmi Kikao hicho jijini Dar es Salaam
Sehemu ya Wajumbe wa Kamati kuu ya ChamaCha Mapinduzi (CCM) wakisikiliza Hotuba ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa NEC kabla ya kufungua rasmi Kikao hicho jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa NEC kabla ya kufungua rasmi Kikao hicho jijini Dar es Salaam.PICHA NA UVCCM
0 Maoni