Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya
ya Afrika Mashariki EAC Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mke wa
Mwanzilishi wa Taifa la Sudani Kusini Rebecca Nyandeng De Mabior
aliyefika Ikulu pamoja na ujumbe wake kwa ajili ya mazungumzo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya
ya Afrika Mashariki EAC Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo
na Mke wa Mwanzilishi wa Taifa la Sudani Kusini Rebecca Nyandeng Mabior
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya
ya Afrika Mashariki EAC Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mke wa
Mwanzilishi wa Taifa la Sudani Kusini Rebecca Nyandeng De Mabior mara
baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya
ya Afrika Mashariki EAC Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mabior
Garang Mtoto wa Mwanzilishi wa Taifa la Sudani Kusini Hayati John Garang
De Mabior Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
0 Maoni