Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole akimsikiliza kwa makini,
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi mstaafu, Nape Nnauye alipokuwa
akizungumza wakati wa makabidhiano rasmi leo katika Ofisi Ndogo ya Makao
Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole akizungumza wakati wa
makabidhiano rasmi na Katibu Mwenezi Mstaafu wa CCM, Nape , leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini
Dar es Salaam. Polepole amemsifu Nape kwamba aliongoza Idara hiyo vizuri na kwa hiyo anaendelea kuhitaji ushauri wake katika kazi zake.
Pia Polepole ambaye alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, kabla ya
kuteuliwa na CCM, juzi, kushika wadhifa wake mpya amesema, atafanya kazi
kwa weledi mkubwa huku akiahidi kushirikiana kwa karibu na waandishi
wa habari.

Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole akizungumza wakati wa
makabidhiano rasmi na Katibu Mwenezi Mstaafu wa CCM, Nape Nnauye
(kulia), leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini
Dar es Salaam.
Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, mstaafu, akifurahia jambo wakati wa
makabidhiano hayo leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba
jijini Dar es Salaam.
Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole akiagana na Katibu Mwenezi Mstaafu wa CCM, Nape Nnauye
(kulia), leo nje ya jengo la Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini
Dar es Salaam
Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, mstaafu,akiondoka leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba
jijini Dar es Salaam.
katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole akizungumza Na baadhi ya Waandishi wa Habari Mara baada ya Makabidhiano, leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini
Dar es Salaam.PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI UVCCM BLOG.
0 Maoni