Unordered List


SHAKA ACHANJA MBUGA KATIKA WILAYA YA NGARA,MKOA WA KAGERA

 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akiwasili katika  Kijiji Cha BENACO Wilayani Ngara, Shaka yupo  kwa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM 2015_2020
 Mwenyekiti wa uvccm Mkoa wa Kagera Bw. Yahya Kateme akizungumza kumkaribisha Ndg: Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka Kuzungumza na Wajumbe wa Baraza la UVCCM pamoja na Wajumbe wa Sekretariet ya CCM Wilayani Ngara.
 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC)akizungumza na Wajumbe wa Baraza la UVCCM pamoja na Wajumbe wa Sekretariet ya CCM Wilayani Ngara Katika  Kikao Cha Ndani Kilicho Fanyika katika Ukumbi wa Engubenako Wilayani Ngara.
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akizungumza na Wajumbe wa Baraza la UVCCM pamoja na Wajumbe wa Sekretariet ya CCM Wilayani Ngara Katika  Kikao Cha Ndani Kilicho Fanyika katika Ukumbi wa Engubenako Wilayani Ngara.
 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akizindua Mradi wa kikundi cha Vijana wajasiliamali cha Ufugaji wa Nyuki na Shamba la Upandaji wa Miti katika kijiji cha Nyaruku Wilayani Ngara. 
  Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akikagua Mradi wa Usambazaji wa Umeme Vijijini katika kijiji cha Nyankenda ikiwa ni Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015_2020
  Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akikagua Ukamilishaji wa Agizo la  Utengenezaji wa Madawati  katika Shule ya Msingi Rulenge Jinsi lilivyo Kamilika kama alivyotoa agizo Mhe:Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli.
  Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akikagua eneo la Shamba la kikundi cha Mpaji ni Mungu Youth group  kinacho jishughulisha na Ufugaji wa Nyuki na Ulimaji wa Mazao Mbali mbali ya Chakula

  Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akimkabidhi mmoja kati ya Wazee 25 waliopokea Vyeti Vya Matibabu ya bure kwa wazee katika kijiji cha kijiji cha Mumiramila
Wilayani Ngara.
 Mwandishi wa Gazeti la Uhuru Bw.Antari Sangali pamoja na wazee wakijiji cha Mumilamila Wilayani Ngara wakimsikiliza kwa makini Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC)alipo kua akigawa Vyeti kwaajili ya Matibabu ya Bure kwa wazee.
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) alipo zindua Mradi wa Shamba la Uvccm wilayani Ngara kwa ajili ya Shughuli Mbali mbali za kilimo kwa Vijana Wilayani humo ikiwa ni Utekelezaji wa agizo lake alilotoa kwa Makatibu wote kuandaa miradi Mbali mbali ili kukwamua Vijana kiuchumi kama kauli Mbiu yake isemayo'' SIASA NA UCHUMI''

Chapisha Maoni

0 Maoni