Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan Januari 18, 2017, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), Bw. Masha Mshomba Ikulu jijini
Dar es Salaam. Pichani, Makamu wa Rais, akipiga picha na Bw. Mshomba mara baada
ya mazungumzo yao. (PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS).
Makamu
wa Rais, Mh. Samia Suluhu Hassan, (kulia), akizungumza na Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), Bw. Masha Mshomba Ikulu
jijini Dar es Salaam, Januari 18, 2017
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan,
(kulia), akimsikiliza Mkurugenzio Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa
Wafanyakazi, (WCF), Bw. Masha Mshomba, Ikulu jijini Dar es Salaam,
Januari 18, 2017.

akimkaribisha ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mmkuu
wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), Bw. Masha Mshomba Januari 18,
2017.

0 Maoni