Unordered List


RAIS WA ZANZIBAR MH:DKT ALI MOHAMMED SHEIN NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR AKUTANA NA VIONGOZI WAKUU UVCCM IKULU ZANZIBAR.

 Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Visiwani Dkt Ali Mohammed Shein  wa kwanza kushoto akizungumza na viongozi wa UVCCM pili kushoto  Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka na wakwanza kulia ni  Naibu Katibu Mkuu UVCCM Tanzania Zanzibar Abdulhafar Idrissa Juma  Ikulu mjini Zanzibar.
 Picha ya Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt Ali Mohammed Shein pamoja  na kaimu katibu mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu mjini Zanzibar.
 Picha ya pamoja ya Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Visiwani Dkt Ali Mohammed Shein  na kaimu katibu mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka wa kwanza kushoto pamoja na  Naibu Katibu Mkuu UVCCM Tanzania Zanzibar Abdulhafar Idrissa Juma wa kwanza kulia mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu mjini Zanzibar.

  Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Visiwani Dkt Ali Mohammed Shein akiagana  na kaimu katibu mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu mjini Zanzibar.

Chapisha Maoni

0 Maoni