Vijana
wa chama cha mapinduzi (Uvccm) Wilaya ya Mbeya mjini waadhimisha mika
40 ya chama cha mapinduzi Ccm kwa kufanya maandamano ya amani kutoka
ofisi za Ccm Mkoa wa Mbeya mpaka eneo la Kabwe na kupanda Miti
wakiongozwa na mkuu wa Wilaya ya Mbeya mjini Mh.William Ntinika ambaye
pia ni mjumbe wa kamati ya siasa wilaya ya Mbeya mjini.Picha zote na
Mr.Pengo Mmg Mbeya.
Mkuu
wa wilaya ya Mbeya mjini Mh.William Ntinika ambaye pia ni mjumbe wa
kamati ya siasa wilaya ya Mbeya mjini akizungumza na baadhi ya vijana wa
chama Cha mapinduzi ccm eneo la kabwe mara baada ya kumaliza zoezi la
kupanda miti katika eneo hilo la Kabwe.
Mwenyekiti
wa Vijana (Uvccm) Ndugu Malanyingi Matukuta nae akizungumza jambo
katika maadhimisho ya kilele cha chama cha mapinduzi kutimiza miaka 40
yanayo tarajia kufanyika kitaifa tarehe 5, ya mwezi wa pili Mjini
Dodoma.
Katibu wa (Uvccm) wilaya ya Mbeya Mjini.Jeradi Kinawile nae akizungumza machache kwa wanachama wa ccm wilaya ya Mbeya mjini.
mkuu
wa wilaya ya mbeya mjini Mh.William Ntinika ambaye pia ni mjumbe wa
kamati ya siasa wilaya ya mbeya mjini akipanda mti eneo la kabwe jijini
Mbeya.
0 Maoni