Jumapili, 12 Februari 2017

BURIANI KATIBU WA HAMASA WA SHIRIKISHO LA WANAFUNZIWA VYUO VYA ELIMU YA JUU MKOA WA KILIMANJARO, EDWIN MSELLE,

 
Picha ya kumbukumbu ya Sura Ya Marehemu Edwin Msele wakati wa Uhai wake 
Mama na Baba wa Marehemu Edwin Msele wakilitazama jeneza lenye picha juu ya kumbukumbu ya Sura ya ,Marehemu enzi za uhai wake wakati wa Misaa ya kumuombea Marehemu iliyo fanyika Nyumbani kwao Kibosho
Katibu Mkuu wa CCM Abdurahman Kinana wa pili kulia akiwasili  Nyumbani kwao na Marehemu Kuongoza  Mazishi
Katibu Mkuu CCM Abdurahman Kinana akisalimiana na Sister wa Kanisa la Hagai KCMC alipowasili nyumbani kwao Marehemu Edwin Msele kuongoza mazishi.
 
Katibu Mkuu wa CCM Abdurahman Kinana akisalimiana na Paroko kanisa katoriki Mwika Emmanuel  Tumaini wakati Wa mazishi
Mtumishi wa Mungu  katika kanisa la Hagai KCMC ambae Pia ni Mlezi wa Wanafunzi Chuo cha KCMC Father Dackshen Akiongoza Missa ya Ibada ya Mazishi ya marehemu Edwin Msele
Wazazi Baba Na Mama wa Marehemu Edwin Msele wakiwa wenye huzuni na Simanzi nzito wakati wa Misa ya mazishi ya Mtoto wao Mpendwa
Wanakwaya wakiimba nyimbo za Kuomboleza Msibani
Mwanakwaya akiimba kwa Hisia nyimbo za Maombolezo wakati wa Ibada ya Mazishi
Mbunge Kupitia Kundi la Vyuo Vikuu Esther Mmasi akiwa katika Ibada ya Kumuombea Marehemu Edwin Msele
waombolezaji wa Tatu kulia Ni Kaimu Katibu Shirikisho la Vyuo Vikuu Taifa Ndg:Daniel Zenda akiwa katika Ibada ya Mazishi ya  kumuombea Marehemu Edwin Msele
Katibu Mkuu CCM wa Tatu Kushoto Akiwa Amwsimama na Viongozi Mbali mbali 
Eneo la Waombolezaji Viongozi Mbalimbali wa Chama 

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Katibu wa Hamasa wa Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu mkoa wa Kilimanjarona Mjumbe wa Mkutano  Mkuu wa CCM, Edwin Mselle, wakati wa ibada na kuaga mwili, wakati wa mazishi, yaliyofanyika leo Wilayani Kibosho, mkoani Kilimanjaro. Edwin ambaye pia alikuwa mwanafunzi wa udaktari, mwaka wa nne katika Chuo Kikuu Kishiriki cha KCMC, ni miongoni mwa viongozi wanne wa CCM waliofariki kwa ajali ya gari, wakati waitoka kwenye maadhimisho ya miaka 40 ya CCM, Februari 5, 2017 ambapo Kinana ameongoza kwenye mazishi yao wote.  
Mkuu wa mkoawa Kilimanjaro Said Mecky Sadick akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Katibu wa Hamasa wa Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu mkoa wa Kilimanjarona Mjumbe wa Mkutano  Mkuu wa CCM, Edwin Mselle, wakati wa ibada na kuaga mwili, wakati wa mazishi, yaliyofanyika leo.
Kaimu Katibu Mkuu Uvccm  Shaka Hamdu Shaka , Daniel zenda Kaimu Katibu Shirikisho la Vyuo Vya Elimu ya Juu Tanzania na Juma Raibu Juma Mwenyekiti wa Uvccm Kilimanjaro wakitoa Heshima za Mwisho katika Mwili wa Marehemu Edwin Msele.
Katibu Mkuu CCM  Akiwa na Viongozi 
Paroko kanisa katoriki Mwika Emmanuel  Tumaini  akihubiri neno la bwana 
wakati Wa mazishi
Mkuu wa Chuo Cha KCMC akiwasilisha Salamu za Rambirambi toka Chuoni wa kati wa Mazishi
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akitoa salam za rambirambi zake binafsi, CCM na za Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli wakati wa mazishi hayo

Kinana akikabidhi rambirambi kutoka CCM na Jumuia zake kwa Baba wa Marehemu Edwin, Christopher Mselle wakati wa mazishi hayo

Katibu Mkuu akitoa Mkono wa Pole kwa Mama wa Marehemu Edwin Msele wakati wa Mazishi hayo
Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka Akitoia Mkono wa Pole kwa Familia ya Marehemu
Katibu wa CCM Mkoa wa Kirimanjaro Deogratius Ruta 
Kinana akiwasili eneo la mazikowakati wa mazishi hayo
Katibu Mkuu CCM akiweka Mchanga katika Kaburi la Marehemu Edwin Msele

Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akiweka Mchanga Kaburini
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Said Mecky Sadick akimwaga udongo kaburini wakati wa maziko
Baba na Mama wa marehemu wakiweka udogo kaburini.
PICHAZOTE NA FAHADI SIRAJI


Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Gadget

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu