Jumatatu, 27 Februari 2017

KAIMU NAIBU KATIBU MKUU UVCCM ZANZIBAR KUFANYA ZIARA YA SIKU 4 PEMBA

MH. Abdullghafar Idirissa Juma Kaimu Naibu Katibu Mkuu UVCCM  ZNZ leo hii amewasili kisiwani Pemba kwa ziara ya siku nne kwa wilaya zote za Pemba WETE MKOANI MICHEWENI NA CHAKE CHAKE
Ziara hiyo itaaza kesho Rasmi wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini katika wilaya hiyo Kaimu atapata fursa ya kukaguwa 
1.Wagonjwa 
2. kushiriki ujezi wa tawi la CCM Ukunjwi 
3. Kutembelea shamba la miwa la VIJANA.
4. Kikundi cha ushoni.
5. Kukaguwa soko na ofisi ya baraza la mji Wete.
Lengo la ziara hiyo ni
1. Kukaguwa uhai wa chama na jumuiya.
2. Kukaguwa utekelezaji wa ilani ya CCM kwa kipindi cha mwaka mmoja wa serekali ya Mapinduzi ZNZ.
3. Kuona hatua jinsi ya maagizo chama kukipeleka kwa wanachama zilipofikia.
4. Maandalizi ya uchaguzi wa chama na jumuiya zake kwa ngazi zote.

Katika ziara hiyo itakayoaza kesho 28/02/2017 na kuishia 03/03/2017 Kaimu Naibu Katibu Mkuu ameongozana na maofisa wake wa ofisi kuu UVCCM ZNZ.
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu