Alhamisi, 9 Februari 2017

KINANA AONGOZA LEO MAZISHI YA MWENYEKITI WA UWT TAWI LA CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI, ALIYEFARIKI KWA AJALI YA GARI AKITOKA KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 4O YA CCM

 Katibu Mkuu wa CCM Comred Abdulrahman Kinana akiaga Mwili wa Marehemu Mwenyekiti wa UWT Tawi la Chuo kikuu Cha Ushirika Moshi Annastazia Innocent Malamsha  Nyumbani kwao Marehemu Kijiji Cha Shimbi Wilayani Rombo
 Katibu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akiaga Mwili wa Marehemu Mwenyekiti wa UWT Tawi la Chuo kikuu Cha Ushirika Moshi Annastazia Innocent Malamsha  Nyumbani kwao Marehemu Kijiji Cha Shimbi Wilayani Rombo
  Katibu Msaidizi Shirikisho la Vyuo Vikuu CCM Comred Zenda akiaga Mwili wa Marehemu Mwenyekiti wa UWT Tawi la Chuo kikuu Cha Ushirika Moshi Annastazia Innocent Malamsha  Nyumbani kwao Marehemu Kijiji Cha Shimbi Wilayani Rombo
 Ndugu wa Marehemu wakiaga Mwili wa Marehemu Annastazia Innocent Malamsha Nyumbani kwao Marehemu Kijiji Cha Shimbi Wilayani Rombo.
 Mwili wa Marehemu Annastazia Innocent Malamsha Ukipelekwa katika Eneo la Ibada Nyumbani kwao Marehemu Kijiji Cha Shimbi Wilayani Rombo.
Bertha Innocent Malamsha Mdogo wa Marehemu akibeba Picha ya Marehemu Annastazia Innocent Malamsha katika Mazishi yaliyo fanyika leo Nyumbani kwao  Kijiji Cha Shimbi Wilayani Rombo.
 Green Guard Wa Chama cha Mapinduzi Wakiwa Wamebeba Mwili wa Marehemu  Annastazia Innocent Malamsha.
  Katibu Mkuu wa CCM Comred Abdulrahman Kinana (wa Tau kulia Mstari wa Pili )akiwa Katika Missa ya Ibada ya kumuombea Marehemu Annastazia Innocent Malamsha Pamoja na Wananchi na Viongozi Mbali mbali Nyumbani kwao Marehemu Kijiji Cha Shimbi Wilayani Rombo
 Baba na Mama wa Marehemu wakiwa Katika Misa ya Kumuombea Annastazia Malamsha Innocent iliyofanyika Nyumbani kwao Marehemu Kijiji Cha Shimbi Wilayani Rombo.

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitoa salamu za rambirambi zake binafsi, za  CCM na za Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli wakati wa missa ya mazishi.
Katibu Mkuu wa CCM Comred Adrahman Kinana akitoa Mkono wa Pole kwa Familia Ya Marehemu Annastazia Innocent Malamsha.
Katibu Mkuu wa CCM Comred Adrahman Kinana akimfariji Baba wa Marehemu Mzee Innocent Malamsha Katika Missa ya Ibada iliyofanyika Nyumbani kwao Marehemu Kijiji Cha Shimbi Wilayani Rombo.
 Katibu Mkuu wa CCM Comred Adrahman Kinanaakisalimiana na Viongozi wa Dini Katika Missa ya Ibada iliyofanyika Nyumbani kwao Marehemu Kijiji Cha Shimbi Wilayani Rombo.
 Mwili wa Marehemu Ukihifadhiwa Ndani ya Kaburi 
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana Akiweka Shada Katika Kaburi la Annastazia Innocent Malamsha aliyekuwa Mwenyekiti wa UWT Tawi la Chuo kikuu Cha Ushirika Moshi kabla Mauti Hayajamkuta  Nyumbani kwao Marehemu Kijiji Cha Shimbi Wilayani Rombo

Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Gadget

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu