Jumanne, 7 Februari 2017

MATUKIO MBALIMBALI KUHUSU OFISI YA WAZIRI MKUU BUNGENI DODOMA JANUARI 2017

TUKI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akijibu hoja za wabunge mbalimbali waliochangia wakati wa kujadili Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Ukimwi Bungeni Dodoma Januari 6, 2017.
TUKI 1
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (kulia) akizungumza na baadhi ya wabunge mara baada ya kuhairishwa kwa Mkutano wa Bunge Mjini Dodoma Januari 6, 2017 katikati ni Mbunge wa Singida Mhe. Ashyrose Matembe.
TUKI 2
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akiteta jambo na Mhe.Hawa Ghasia nje ya viwanja vya bunge Dodoma Januari 6, 2017.
TUKI 3
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Vijana), Mhe. Antony Mavunde (kulia) akizungumza na Mhe. Machano Othman nje ya ukumbi wa Bunge Dodoma mara baada ya kupitishwa kwa Taarifa ya Kamati ya Ukimwi na Dawa za Kulevya Januari 6, 2017.
TUKI 4
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira na Muungano Mhe.January Makamba baada ya kupitishwa kwa Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Masuala ya UKIMWI kuwa makadirio ya Bunge wakati wa Mkutano wa Sita wa Bunge linaloendelea Mkoani Dodoma.
TUKI 5
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akibadilishana mawazo na baadhi ya wabunge nje ya Ukumbi wa Bunge mara baada ya kuhairishwa kwa Mkutano wa Sita wa Bunge Januari 6, 2017 Dodoma.
TUKI 6
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira na Muungano Mhe.January Makamba wakipongezana mara baada ya kupitishwa kwa Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Ukimwi na Dawa za Kulevya Januari 6, 2017.

(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU-DODOMA)
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Gadget

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu