Jumamosi, 11 Februari 2017

WANAFUNZI CHUO CHA KCMC WAFANYA IBADA NA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU ANDREW MSELE


Waziri wa Maliasili na Utalii Prof:Jumanne Magembe akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kilimanjari Iddy Juma wakati akiwasili katika Missa ya kumuombea Marehemu Edwin Christopher Msele aliyo fanyika katika kanisa la Hagai KCMC Moshi.
Wanafunzi wa Chuo cha KCMC Moshi wakibeba  Jeneza lenye Mwili wa Marehemu  Edwin Christopher Msele
 Kaimu katibu Mkuu UVCCM Shaka hamdu Shaka wa Kwanza Kushoto pamoja na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kilimanjaro Ndg:Juma Raibu Juma wakati wa Misa hiyo.
Mama wa Marehemu Edwin Christopher Msele akiwa mwenye huzuni kubwa wakati wa Misa hiyo.
Ndugu wa marehemu Edwin Christopher Msele wakiwa katika Missa ILIYOFANYIKA KATIKA KANISA LA IHAGA KCMC Moshi.
Waombolezaji Viongozi Mbali mbali Wa Chama Mkoa wa KIlimanjaro wakiwa katika Misa ya kumuombea Marehemu Edwin Christopher Msele
Baadhi ya  Wanafunzi Waombolezaji katika Chuo cha KCMC Moshi 
Kaimu Katibu Shirikisho Vyuo Vikuu Tanzania wa pili kushoto akiwa katika Missa ya kumuombea Marehemu Edwin Christopher Msele aliye fariki kwa ajali ya Gari siku ya Tareh 5 wilayan Rombo.

Mazishi ya Marehemu Edwin Christopher Msele Yataongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Kanal Mstaafu Abdurahman Kinana leo nyumbani kwao Kibosho katika Wilaya ya Moshi Vijijini.

Pichazote na Fahadi SirajiShare:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu