• UVCCM TAIFA

  SAUTI YA VIJANA,SAUTI YA UMMA.CCM MPYA,TANZANIA MPYA.

 • UVCCM TAIFA

  MWAKA MMOJA WA SERIKALI YA AWAMU YA TANO.

 • This is default featured slide 3 title

  Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

 • This is default featured slide 4 title

  Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

 • This is default featured slide 5 title

  Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

Jumatano, 26 Aprili 2017

ZIARA YA KAIMU MKUU WA IDARA UVCCM JOKATE MWENGELO YAVUNA WANACHAMA WAPYA 680 DODOMA

 
 Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban Mwengelo wa Nne kulia akiwasili kata ya Hombolo  alipokwenda kukabidhi kadi kwa wanachama wapya.
 Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban Mwengelo akishangiliwa na wanafunzi makada wa chama cha mapinduzi katika chuo cha Serikali za Mitaa kilichopo Mkoani Dodoma katika kata ya Hombolo
  Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban Mwengelo akishukuru jambo mara baaada ya kuwasili katika eneo hilo kata ya Hombolo
  Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban Mwengelo akizungumza  na vijana na wanachama wa chama cha mapinduzi kata ya Hombolo  mkoan Dodoma
   Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban Mwengelo akitoa kadi kwa  wanachama wapya wa chama cha mapinduzi kata ya Hombolo  mkoan Dodoma
 Wanachama wapya wakiala kiapo cha chama
Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban Mwengelo akitoa kadi kwa  wanachama wapya wa chama cha mapinduzi kata ya Hombolo Mjini  mkoan Dodoma
   Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban Mwengelo wa pili kulia akimuaga mwenyekiti wa UWT kata ya Hombolo Mjini .


   Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban Mwengelo akizungumza na Wanachama wa UVCCM Chuo kikuu UDOM  Mkoan dodoma.
 Makada wa chama cha Mapinduzi wakijiselfii na kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi
 MJumbe wa Baraza kuu Uvccm Taifa kupitia Mkoa wa Dodoma Ndg:Egla Mamoto akizungumza katika Mkutano wa Wanachama kata ya Chang'ombe.
    Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban Mwengelo akizungumza na Wanachama wa UVCCM na CCM Kata ya Chan'gombe  Mkoan dodoma.
Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban Mwengelo akitoa kadi kwa mmoja kati ya wanachama wapya Kata ya Chan'gombe  Mkoan dodoma.picha na (FAHADISIRAJI)
Share:

Alhamisi, 20 Aprili 2017

RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA UJUMBE TOKA KWA RAIS KAGAME WA RWANDA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WAFANYAKAZI NCHINI TUCTA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM APRIL 20,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Dkt. Musafiri Papias, Waziri wa Elimu wa Rwanda na Mjumbe maalumu wa Rais Paul Kagame alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 20, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Dkt. Musafiri Papias, Waziri wa Elimu wa Rwanda na Mjumbe maalumu wa Rais Paul Kagame alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 20, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Dkt. Musafiri Papias, Waziri wa Elimu wa Rwanda na Mjumbe maalumu wa Rais Paul Kagame alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 20, 2017. Wengine ni Balozi wa Rwanda nchini Mhe. Eugene Kayihura na Afisa Mwandamizi wa Ubalozi Bw. Issa Mugabutsinze.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais Paul Kagame wa Rwanda uliowasilishwa kwake na kt. Musafiri Papias, Waziri wa Elimu wa Rwanda  alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 20, 2017
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika kikao na Viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (Trade Union Congress of Tanzania -TUCTA) Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (Trade Union Congress of Tanzania -TUCTA) mara baada ya kikao kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa TUCTA Tumaini Nyamhokya mara baada ya kumaliza kikao na kupiga picha ya pamoja Ikulu jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na baadhi ya viongozi wa TUCTA mara baada ya Kikao chao Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Share:

CCM Z’BAR YATAKA TAASISI ZAKE KUBUNI MIRADI ENDELEVU YA KIMAENDELE.

mab1
Jengo jipya la CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Kichama lililopo katika kijiji cha Mahonda Wilaya ya Kaskazini  “B”  Unguja.
mab2
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Abdalla Juma Saadalla “Mabodi” akizungumza na uongozi wa  Mkoa huo mara baada ya kukagua jengo hilo wakati alipokuwa katika ziara yake ya kuimarisha chama ndani ya Mkoa huo.
mab3
Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa huo Bw. Haji Juma Haji akitoa ufafanuzi  juu ya mambo mbali mbali yanayohusu jengo hilo mbele ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Abdalla Juma Saadalla “Mabodi”  alipokuwa katika ziara yake ya kuimarisha chama ndani ya Mkoa huo.
mab4
Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa huo Bw. Haji Juma Haji akitoa ufafanuzi  juu ya mambo mbali mbali yanayohusu jengo hilo mbele ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Abdalla Juma Saadalla “Mabodi”  alipokuwa katika ziara yake ya kuimarisha chama ndani ya Mkoa huo.
…………………………………………………………….
NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dkt. Abdalla Juma Saadalla “Mabodi”  amewaagiza  Watendaji na Viongozi wa Chama na Jumuiya zake kuwa wabunifu kwa kuanzisha miradi ya kudumu ya kimaendeleo.
Agizo hilo amelitoa katika ziara yake huko Mkoa wa Kaskazini Unguja alipotembelea jengo jipya la kisasa la  ofisi ya Mkoa huo, huko Mahonda Unguja, alisema jengo hilo limekamilika kwa muda mwafaka ambao Chama hicho kipo katika mkakati maalum wa kuwa na vitega uchumi imara vitavyosaidia chama kujitegemea  katika masuala ya kiuchumi.
Dkt. Mabodi alieleza kwamba Chama hicho kwa Zanzibar lazima kila ngazi ya kiutendaji kuanzia katika Mashina hadi Taifa ni lazima wawe na miradi ya maendeleo kupitia rasilimali ardhi na baadhi ya majengo waliyokuwa nayo ili waweze kujipatia kipato kitakachosaidia kutatua changamoto za ukata wa fedha hasa katika masuala ya kiutendaji na kijamii.
Aliwambia wanachama CCM Zanzibar kwamba nia ya muundo na marekebisho ya Katiba ya Chama ni kuhakikisha utamaduni wa chama kutegemea ruzuku za serikali sambamba na ngazi zote za chama na jumuiya kuona zinaanza mapema kujiandaa kisaikolojia kwa kuanzisha miradi na vitega uchumi.
“ Kwanza nakupongezeni kwa juhudi zenu za kujenga jengo la kisasa la ofisi linaloendana na hadhi ya CCM, lakini kubwa ni kwamba ndani ya jengo hili mmeweka vitega uchumi vya kuzalisha mapato yatakayosaidia katika shughuli za uendeshaji.
Rai yangu kwenu na Mikoa mingine ya Kichama pamoja na Jumuiya zake, tuanze rasmi kuenzi busara za Waasisi wetu ambao ni Marehemu Abeid Amaan Karume na wenzake ili serikali na chama tawala vijitawale kiuchumi na kimaendeleo.”, alisema Dkt. Mabodi.
Akizungumza Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, Haji Juma Haji alisema jengo hilo limejengwa kwa juhudi za ungozi wa Mkoa huo kwa kushirikiana na wanachama wengine waliokubali mwekezaji ajenge jengo hilo ili wapate fursa mbali mbali za kiuchumi.
Bw. Haji pia aliweka wazi kwamba licha ya kuwepo na vikwazo vya majukungu na kauli zisizofaa kutoka kwa baadhi ya wapinga maendeleo, lakini wameweza kulikamilisha na kwa sasa kilichobaki ni kuwekwa vifaa vya samani ili liweze kuzinduliwa rasmi.
Akitoa ufafanuzi juu ya jengo hilo, Katibu wa CCM Mkoa huo,  Bw. Mulla Othman Zubeir  amesema jengo hilo limeanza kujengwa toka  mwaka 1986 na baadae liaachwa lakini uongozi wa mkoa huo wa sasa uliamua kuliendeleza  kwa msaada wa Mwekezaji  ambaye ni Bw. Braiyan Somson  kupitia mradi wake wa Pen Royal ameweza kujenga jengo hilo bila masharti yoyote.
Katibu Bw. Mulla alieleza kwamba Mwekezaji huyo amekuwa ni miongoni mwa watu muhimu waliosaidia kufanikisha ofisi hiyo ya kisasa kwani ameonyesha mapenzi na nia ya kweli ya kukiunga mkono chama cha Mapinduzi.
Ofisi hiyo imejengwa kwa gharama zinazokadiriwa kufikia zaidi ya shilingi milioni 300 pia ina  vitengo vyote Chama na Jumuiya zote kwa ngazi mbali mbali za Mkoa huo pamoja na vyumba vya ukodisha maduka ili mkoa huo upate fedha za kuongeza kipato katika shughuli za kiutendaji.
Share:

TAARIFA KUHUSU MISHENI YA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA SADC TROIKA NCHINI JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO (DRC)

719A3575

Mheshimiwa Dkt. Augustine P. Mahiga (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mwenyekiti wa SADC wa Kamati ya Mawaziri ya Asasi ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama (SADC Ministerial Committee of the Organ on Politics, Defense and Security Cooperation – MCO) amewasili Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kwa ajili ya kuongoza Ujumbe wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa SADC Troika (Tanzania, Angola na Msumbiji) kwa dhumuni la kufanya Misheni ya Pili ya kutathmini hali ya siasa, ulinzi na usalama nchini humo.
Misheni hii inafanyika kufuatia Azimio la Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC Troika Mbili uliofanyika Falme ya Swaziland tarehe 17 Machi, 2017. Mkutano huo uliagiza kufanyika kwa Misheni ya Pili ili kuendelea kufuatilia kwa ukaribu maendeleo ya hali ya siasa nchini DRC wakati ikifanya maandalizi ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Desemba, 2017.
Sambamba na hayo, Viongozi Wakuu katika Mkutano huo walipokea na kujadili taarifa ya hatua zilizochukuliwa na SADC katika kutatua changamoto za kisiasa, kiulinzi na kiusalama katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ikiwemo Taarifa ya Misheni ya Kwanza ya Mawaziri iliyofanyika mwezi Oktoba, 2016 na Taarifa ya Misheni ya Timu ya Wataalam wa SADC nchini DRC iliyofanyika mwezi Februari, 2017.
Katika Misheni hii ya Pili, ujumbe wa Angola utaongozwa na Mhe. Manuel Augusto, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje; na ujumbe wa Msumbiji utaongozwa na Mhe. Nyeleti Mondlane, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Ratiba inaonyesha kuwa ujumbe wa Misheni ya Mawaziri wa SADC utakutana na kufanya mazungumzo na wadau wafuatao: Serikali ya DRC akiwemo Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo; Wawakilishi wa Jeshi la Walinda Amani wa Umoja wa Mataifa (MONUSCO); Wawakilishi wa Baraza la Maaskofu Katoliki nchini DRC (CENCO); Wawakilishi wa Vyama vya Siasa na Asasi za Kiraia; na Ofisi ya Rais – DRC. Aidha, Mawaziri watapata pia fursa ya kufanya mazungumzo na Mabalozi wa nchi wanachama wa SADC wenye makazi mjini Kinshasa.
Misheni inatarajiwa kukamilika tarehe 21 Aprili, 2017.  

-Mwisho-
Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali,
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Dar es Salaam
19 Aprili, 2017
Share:

TAZAMA LIVE: Kipindi cha maswali ya papo kwa hapo kwa Waziri Mkuu Bungeli leo April 20


BONYEZA HAPO CHINI 


Share:

Jumanne, 18 Aprili 2017

YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA NANE CHA MKUTANO WA SABA WA BUNGE LA 11 APRIL 18, 2017 MJINI DODOMA.

unnamed
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
A
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora) akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora) kwa mwaka wa Fedha 2017/2018 katika kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
A 1
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. George Simbachawene akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa mwaka wa Fedha 2017/2018 katika kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
A 2
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais TAMISEMI Mhe. Luaga Mpina  akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
A 3
Mbunge wa Nanyamba (CCM) Mhe. Abdallah Dadi Chikota  akiuliza swali  katika kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
A 4
 Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Edwin Ngonyani akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
A 5
 Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt. Ashatu Kijaji akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
A 6
 Mbunge wa Mlalo(CCM) Mhe. Rashid Shangazi akiuliza swali  katika kikao cha saba cha Mkutano wa nane wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
unnamed
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
A 7
Mbunge wa Kinondoni  (CUF) Mhe. Maulid Said Mtulia akiuliza swali  katika kikao cha saba cha Mkutano wa nane wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
A 8
 Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. William Ole Nasha akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
A 9
 Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhe Gerson Lwenge akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.  
A 10
 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tazania Mhe. Kassim Majaliwa  akijadiliana jambo na Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Abdallah Bulembo katika kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
A 11
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mwigulu Nchemba akitoa taarifa kwa Bunge kuhusu mauaji ya askari wanane yaliyotokea siku ya Alhamisi wiki iliyopita Kibiti Mkoani Pwani.
A 12
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Jenista Mhagama pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. George Masaju  wakifuatilia  shughuli za kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
A 13
 Watendaji  kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI na  Utumishi na Utawala Bora wakifuatilia kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
A 14
Wabunge wakifuatilia hoja mbalimbali katika kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017. 
Picha na Raymond Mushumbusi Dodoma MAELEZO
Share:

SAMIA SULUHU: VIJANA WANA KASI YA 4G WAPEWE NAFASI YA KUKIONGOZA CHAMA

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongea na wanachama wa tawi la Muungoni mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa ofisi ya Tawi la Muungoni lililopo Wilaya ya Kusini, Mkoa wa Kusini Unguja.
 
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea taarifa ya ujenzi ya shule ya awali ya Watoto Kajengwa, Makunduchi kutoka kwa Mhandisi Riziki Jescha Salim, Wilaya ya Kusini, Mkoa wa Kusini Unguja.
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiondoka eneo inapojengwa shule ya watoto ya awali iliyopo Kajengwa, Makunduchi mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi.
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wakina Mama wanachama wa CCM waliojitokeza kwenye mkutano wake na wajumbe wa kamati za siasa kuanzia matawi mpaka ngazi ya mkoa.
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye mkutano wake na wajumbe wa kamati za siasa kuanzia tawi mpaka mkoa ambapo aliwaambia wajumbe hao kuwa ni wakati wa kukiimarisha Chama sasa na kutoa elimu ya Itikadi kwa wanachama.
 Sehemu ya wajumbe 535 waliohudhuria mkutano wa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye amehitimisha ziara yake ya kuimarisha chama katika Wilaya ya Kusini, Mkoa wa Kusini Unguja.
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wajumbe wa kamati za siasa kuanzia matawi mpaka mkoa kwenye mkutano uliofanyika kwenye ukumbi wa shule ya Sekondari ya Makunduchi ambapo aliwasihi wazee kutoa elimu kwa vijana katika historia ya Mapinduzi kisha kuwapa nafasi vijana zaidi ambao kasi yao ni ya 4G.
 Vijana wa Makunduchi wakionesha juu picha za Viongozi wao wakati wa ziara ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Gadget

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu