Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongea na wanachama wa tawi la
Muungoni mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa ofisi ya Tawi
la Muungoni lililopo Wilaya ya Kusini, Mkoa wa Kusini Unguja.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea taarifa ya ujenzi ya shule ya
awali ya Watoto Kajengwa, Makunduchi kutoka kwa Mhandisi Riziki Jescha
Salim, Wilaya ya Kusini, Mkoa wa Kusini Unguja.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiondoka eneo inapojengwa shule ya
watoto ya awali iliyopo Kajengwa, Makunduchi mara baada ya kukagua
maendeleo ya ujenzi.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wakina Mama wanachama
wa CCM waliojitokeza kwenye mkutano wake na wajumbe wa kamati za siasa
kuanzia matawi mpaka ngazi ya mkoa.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye mkutano wake na
wajumbe wa kamati za siasa kuanzia tawi mpaka mkoa ambapo aliwaambia
wajumbe hao kuwa ni wakati wa kukiimarisha Chama sasa na kutoa elimu ya
Itikadi kwa wanachama.
Sehemu
ya wajumbe 535 waliohudhuria mkutano wa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan ambaye amehitimisha ziara yake ya kuimarisha chama katika Wilaya
ya Kusini, Mkoa wa Kusini Unguja.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wajumbe wa kamati za siasa
kuanzia matawi mpaka mkoa kwenye mkutano uliofanyika kwenye ukumbi wa
shule ya Sekondari ya Makunduchi ambapo aliwasihi wazee kutoa elimu kwa
vijana katika historia ya Mapinduzi kisha kuwapa nafasi vijana zaidi
ambao kasi yao ni ya 4G.
Vijana
wa Makunduchi wakionesha juu picha za Viongozi wao wakati wa ziara ya
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.
0 Maoni