Unordered List


WANACHAMA 681 KUTOKA UMOJA WA VIJANA WA CCM VYUO NA VYUO VIKUU MKOA WA DAR ES SALAAM WATUNUKIWA VYETI KWA KUHITIMU MASOMO YAO*.

 Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndg:Rodrick Mpogolo akisalimiana na Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka Mara baada ya kuwasili katika Mahafali ya Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Mkoa wa Dar Es Salaam Leo katika Ukumbi wa King Solomon Kinondoni.
  Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndg:Rodrick Mpogolo akisalimiana na Kaimu Mwenyekiti Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam Asha Ferouz Mara baada ya kuwasili katika Mahafali ya Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Mkoa wa Dar Es Salaam Leo katika Ukumbi wa King Solomon Kinondoni.
  Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndg:Rodrick Mpogolo pamoja na Kaimu katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka wakiwasili Ukumbini.
Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndg:Rodrick Mpogolo pamoja na Kaimu katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka wakiteta jambo.
 Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndg:Rodrick Mpogolo pamoja na Kaimu katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka wakifurahia jambo.
 Meza Kuu wakiburudika na nyimbo ya CCM uku wa kionesha Ishara Mshikamano na Umoja
Wahitimu wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu Wakicheza uku wa kishikana Mikono ishara ya Umoja
 Wanafunzi wakishangilia
 Kaimu Mwenyekiti wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam Asha Ferous akisoma Taarifa kwa Mgeni Rasmi Katika Sherehe za Mahafali ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dar es Salaam Leo
 Wana Vyuo na Vyuo Vikuu Wakiwa Ukumbini
 Kaimu Katibu Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Taifa Ndg Daniel Zenda akizungumza katika Sherehe za Mahafali ya kuwaaga Makada wa CCM idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu uvccm Mkoa wa Dar es Salaam katika Ukumbi wa King Solomon Leo
 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akizungumza katika Sherehe za Mahafali ya kuwaaga Makada wa CCM idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu uvccm Mkoa wa Dar es Salaam katika Ukumbi wa King Solomon  Kinondoni Leo
 Baadhi ya Wahitimu wakimsikiliza Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka
 '
 Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndg:Rodrick Mpogolo akipeana Mkono na Kaimu Katibu Mkuu UVCCM mara ya Baada ya kumaliza kuzungumza katika Sherehe za Mahafali ya kuwaaga Makada wa CCM idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu uvccm Mkoa wa Dar es Salaam katika Ukumbi wa King Solomon  Kinondoni Leo
 Wanavyunzi wahitimu Wakiimba Shairi katika Sherehe za Mahafali ya kuwaaga Makada wa CCM idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu uvccm Mkoa wa Dar es Salaam katika Ukumbi wa King Solomon  Kinondoni Leo
 Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Cha Kidemokrasia  wa kwanza kulia Ndg:Aloyce Mukami akiwa katika mahafali hayo
 Waziri Mkuu wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Cha Madaktari MUHIMBILI akishangilia jambo katika Sherehe za Mahafali ya kuwaaga Makada wa CCM idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu uvccm Mkoa wa Dar es Salaam katika Ukumbi wa King Solomon  Kinondoni Leo
 Naibu Katibu Mkuu CCM Bara ndg:Rodrick Mpogolo akitoa  Vyeti kwa Wahitimu Makada wa CCM Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam katika Sherehe za Mahafali ya kuwaaga Makada wa CCM idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu uvccm Mkoa wa Dar es Salaam katika Ukumbi wa King Solomon  Kinondoni Leo
 Kada Aldelatus Mushumbusi toka Tawi Idara ya Vyuo na Vyuo vikuu UVCCM Mabibo Hostel akikabidhiwa Cheti na Mgeni Rasmi Ndg :Rodrick Mpogolo katika Sherehe za Mahafali ya kuwaaga Makada wa CCM idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu uvccm Mkoa wa Dar es Salaam katika Ukumbi wa King Solomon  Kinondoni Leo
  Kada Aldelatus Mushumbusi toka Tawi Idara ya Vyuo na Vyuo vikuu UVCCM Mabibo Hostel akipewa Mkono wa Pongezi na Ndg:Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka katika Sherehe za Mahafali ya kuwaaga Makada wa CCM idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu uvccm Mkoa wa Dar es Salaam katika Ukumbi wa King Solomon  Kinondoni Leo
 Kaimu Mwenyekiti wa Idara ya Vyuo na Vyuo vikuu UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam Asha Ferouz akikabidhiwa Cheti cha pongezi na Mgeni Rasmi ndg:Rodrick Mpogolo katika Sherehe za Mahafali ya kuwaaga Makada wa CCM idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu uvccm Mkoa wa Dar es Salaam katika Ukumbi wa King Solomon  Kinondoni Leo

“Ujana ni rika, ujana ni wakati na wakati haurudi nyuma” haya yalizungumzwa na  mgeni rasmi Ndg. Rodrick Mpogoro Naibu katibu Mkuu CCM Bara kwenye mahafali ya Vijana Chama Cha mapinduzi kutoka Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dar es Salaam yaliyofanyika leo 28/05/2017 katika ukumbi wa King Solomoni Kinondoni. 

Ndg. Rodrick Mpogoro alisema, Siri pekee ya kufanikiwa kwa mtu yeyote inategemea namna anavyotazama na kutathmini mambo. Ni mtazamo chanya pekee ndiyo humvusha mtu kwenye mafanikio, hivyo ipo haja kwenu vijana kujikita kutazama fursa zinazowazunguka na kuwa wabunifu ili kujitengenezea vipato vyenu wenyewe kuliko kusubiria ajira, alisema.

"Sura ya Chama Cha Mapinduzi inajengwa na wanachama wenyewe kwa vitendo, jengeni uadilifu, zungumzeni habari ya uzalendo wa nchi yenu, jengeni maslahi kwa wanyonge, jifunzeni historia ya Chama, someni katiba na kanuni zake, fanyeni kazi kwa bidii na jengeni moyo wa kujitolea mkifanya hayo mtafanikiwa*. Alisema.

Alifahamisha kuwa ni vyema kwa  wanachama,  wananchi na kila mpenda amani, umoja na maendeleo ya Taifa kuendelea   kumuunga mkono Rais wetu Mhe Dr. John Pombe Magufuli katika juhudi anazozifanya za kupambana na ubadhilifu wa mali za umma kwani anaiishi misingi ya Chama Cha mapinduzi kama ilivyoainishwa kwenye madhumuni yake kupitia katiba Ibara ya 5. *"Simameni imara katika kumuunga mkono Rais wetu kwani anaiishi misingi ya Chama Cha Mapinduzi katika kujenga uzalendo wa nchi".

Mgeni Rasmi Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndg Rodrick Mpogolo akizungumza na Wahitimu Makada wa CCM Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM katika Sherehe za Mahafali ya kuwaaga Makada wa CCM idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu uvccm Mkoa wa Dar es Salaam katika Ukumbi wa King Solomon  Kinondoni Leo
 Maonyesho ya karatee
PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI UVCCM

Chapisha Maoni

0 Maoni