Mbunge
wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso kulia akimkabidhi vitanda moja
kati ya 25 Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Pangani,Sabas Chambasi
ambavyo ni miongoni mwa mgao wa vifaa tiba walivyopewa na Rais John
Magufuli kwa ajili ya wilaya ya Pangani kushoto ni Mkuu wa wilaya ya
Pangani,Zainabu Issa
Mbunge
wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso kulia akimkabidhi Mgao wa mashuka
50 kutoka kwa Rais John Magufuli Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya
Pangani,Sabas Chambasi kwa ajili ya kusaidia huduma za afya kwenye
wilaya ya Pangani katika halfa iliyofanyika kwenye hospitali ya wilaya
ya Pangani juzi wa pili kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Pangani,Zainabu
Issa
Mbunge
wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso kushoto akiwa ameambatana na Mkuu
wa wilaya ya Pangani Zainabu Issa wakitembelea hospitali ya wilaya ya
Pangani kabla ya kukabidhi Msaada wa vifaa tiba ambavyo vimetolewa na
Rais John Magufuli
Mganga
Mkuu wa wilaya ya Pangani,Dkt Juma Mfanga kulia akimueleza Mbunge wa
Jimbo la Pangani (CCM) Changamoto zinazowakabili wakati wa hafla ya
makabidhiano ya vifaa tiba ambavyo vimetolewa na Rais John Magufuli kwa
Mbunge huyo kwa ajili ya wilaya ya Pangani ambayo ni mashuka 50 na
vitanda 25
Mganga
Mkuu wa wilaya ya Pangani,Dkt Juma Mfanga kulia akielezea Changamoto
zinazowakabili wakati wa hafla ya makabidhiano ya vifaa tiba ambavyo
vimetolewa na Rais John Magufuli kwa Mbunge huyo kwa ajili ya wilaya ya
Pangani wa pili kutoka kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa
Aweso
Mbunge
wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso akizungumza katika halfa hiyo
ambapo alimshukuru Rais John Magufuli kwa kuona umuhimu wa kusaidia
vifaa ntiba wilaya ya Pangani
Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainabu Issa akizungumza katika halfa hiyo kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) akizungumza katika makabidhiano hayo
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Pangani,Sabasi Chambasi akizungumza katika halfa hiyo
Mbunge
wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso mara baada ya hafla hiyo kwa
kumshukuru Rais John Magufuli kwa kuona umuhimu wa kusaidia vifaa tiba
kwenye wilaya hiyo
Picha ya pamoja baada ya makabidhiano hayo
Habari kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha
0 Maoni