Unordered List


RAIS DK. MAGUFULI AMTEUA TIXSON NZUNDA KUWA NAIBU MKURUGENZI MKUU TAMISEMI-ELIMU


Ikulu, Dar es Salaam.
Rais Dk. John Magufuli leo tarehe 24 Mei, 2017 amemteua Katibu Tawala wa mkoa wa Rukwa, Tixon Tuliangine Nzunda kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) unade wa Elimu.

Tixon Tuliangine Nzunda anachukuwa nafasi ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) unande wa Elimu  Bernard Makali ambaye ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa. Uteuzi huu unaanza mara moja.

Chapisha Maoni

0 Maoni