Alhamisi, 27 Julai 2017

SHAKA AHITIMISHA ZIARA YAKE YA KUIMALISHA CHAMA WILAYANI SENGEREMA MKOANI MWANZA

 Kaimu Katibu Mkuu Umoja wa Vijana wa CCM Shaka Hamdu Shaka (MNEC)(Kushoto)akisalimiana na Katibu wa CCM wilaya ya Sengerema Ndg:Iddy Mkowa alipowasili katika katika ziara yake ya kikazi wilayan humo.
 Kaimu Katibu Mkuu Umoja wa Vijana wa CCM Shaka Hamdu Shaka (MNEC)(Kushoto)akisalimiana na kukaribishwa  wilaya yaSengerema na Mwenyekiti wa UVCCM Bi:Magreth alipowasili katika katika ziara yake ya kikazi wilayan humo.
 green guard wakimvika Skafu
 Kaimu Katibu Mkuu Umoja wa Vijana wa CCM Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akizungumza mara baaada ya kukagua Mradi wa Kilimo cha Umwagiliaji cha vijana bwawani mazingira kata ya ibisabageni wiolayani sengerema mkoani mwanza
 Kaimu Katibu Mkuu Umoja wa Vijana wa CCM Shaka Hamdu Shaka (MNEC) (wa pili kushoto)akiwasili na kupokelewa ka shangwe na wanafunzi wa Shule ya sekondari wilayani sengereme
 Kaimu Katibu Mkuu Umoja wa Vijana wa CCM Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akishiriki Ujenzi wa Madarasa katika kijiji cha nyakutanga kata ya Bukokwa wilayani sengerema mkoa wa Mwanza
 Kaimu Katibu Mkuu Umoja wa Vijana wa CCM Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akiwa amebebelea tofali wakati wa kushiriki ujenzi wa Shule ya Sekondari kata ya  bukokwa wilayani Sengerema.
 Kaimu Katibu Mkuu Umoja wa Vijana wa CCM Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akifungua shina la wajasiliamali kata ya bukokwa.
 Kaimu Katibu Mkuu Umoja wa Vijana wa CCM Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akipokea kadi za wanachama waliohama toka chama cha (CHADEMA) zaid ya Hamsini na Kurudi Chama cha mapinduzi kuunga mkono juudi za Mhe Rais Dkt.John pombe Magufuli kata ya wilayani Sengerema
 Kaimu Katibu Mkuu Umoja wa Vijana wa CCM Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akionyesha Kadi za Wanachama aliowapokea
 Kaimu Katibu Mkuu Umoja wa Vijana wa CCM Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akizungumza na wananchi,Viongozi na Wanachama wa CCM na Jumuiya zake katika Mkutano wa ndani uliofanyika kata ya bukokwa.
 wananchi,Viongozi na Wanachama wa CCM na Jumuiya zake wakimsikiliza Ndg: Kaimu Katibu Mkuu Umoja wa Vijana wa CCM Shaka Hamdu Shaka (MNEC)
 Burudani
 Mhe : Mh.Emmanuel Enock Kipole Mkuu wa wilaya ya Sengerema akizungumza na kutolea ufafanuzi juu ya maswala mbalimbali ya utekelezaji wa ilani ya CCM katika wilaya yake.
  Kaimu Katibu Mkuu Umoja wa Vijana wa CCM Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akizungumza wananchi,Viongozi na Wanachama wa CCM na Jumuiya zake katika mkutano wa ndani ulio fanyika kata ya nyampulukano wilayani sengerema mkoa wa mwanza.
 Kaimu Katibu Mkuu Umoja wa Vijana wa CCM Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akiagana na na wanachama na viongozi wa chama na jumuiya zake mara baada ya mkutano wa ndani uliofanyika kata ya nyampulukano wilayani sengerema mkoa wa mwanza.(PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI)
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu