Unordered List


MBONI:NAFASI YA VIJANA KATIKA KUIJENGA TANZANIA MPYA


 ALIYOYASEMA MAKAMU MWENYEKITI UVCCM TAIFA NA MBUNGE WA HANDENI VIJIJINI NDG. MBONI MHITA (MB) AKIHOJIWA NA VIJANATZ JUU YA NAFASI YA VIJANA KATIKA KUIJENGA TANZANIA MPYA

"Mara baada ya kumaliza elimu yangu, nilianza ujasiliamali" – Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Lengo la kujikita kwenye jumuiya ilikuwa si kutafuta nafasi ni kujitolea zaidi” – Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Nilianza kujitolea ndani ya UVCCM na baadae nikachaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa" – Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Kuna tofauti kubwa kati ya vijana waliopita kwenye jumuiya na wale wasiopita" – Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

“Kijana yeyote ambaye anaishi maisha yake ya uongozi kwa kupitia Uvccm ni lazima atakuwa na adabu "– Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"UVCCM ilianzishwa ili kuwaunganisha Vijana Tanzania ambapo imeoka na kupika viongozi wengi nchini" – Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Mipango yote tuliyokuwa tumeiweka mwanzo hivi sasa inakwenda vizuri"– Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Jumuiya ya Uvccm iwe ni kioo au kimbilio kwa vijana" – Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Najivunia mafanikio ya kujenga uwezo wa kujitegemea Vijana, kuboresha maslahi ya Watumishi" – Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

Kinachoniumiza ni vijana kuingia kwenye makundi ya kutumia madawa ya kulevya" – Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Nimefurahia kuona Serikali inapambana na madawa ya kulevya nchini ambayo yanaathiri vijana wengi nchini" – Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Tanzania mpya ni Serikali inayoitoa Tanzania kutoka sehemu moja hadi nyingine nzuri" – Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Tanzania mpya haina mstari mmoja unaoweza kutafsiri nini maana yake ,bali hii inaonesha tunapiga hatua kwenda mbele"– Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Rais Magufuli amefanya makubwa ya kufufua shirika la ndege, kuongeza madawa nchini, kujenga barabara" – Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

Mpaka sasa hivi Msd wana dawa zaidi ya 80% "– Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Mapambanio dhidi ya vyeti feki yameongeza fursa za ajira nchini kwa vijana wenye sifa nchini" – Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Tumepambana na mambo mengi ikiwemo vyeti feki .lengo ni kuhakikisha kundi kubwa la vijana walio mtaani wanapata ajira"– Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Rais Magufuli anaendelea vyema na sera ya kuifanya Tanzania ya Vijana" – Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Tanzania mpya inamtegemea kijana ajitoe kwa ajili ya kuijenga"– Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Tanzania mpya inamtegemea kijana aweze kujitoa kwenye ujenzi wa Tanzania"- Mboni Mhita #VijanaTz

"Viongozi wa nchi wamefungua milango sana kwa vijana"– Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Awamu hii imefungua milango zaidi kwa vijana kupata fursa mbalimbali" - Mboni Mhita #VijanaTz

Serikali kupitia kwa mh:Rais inapambana sana kurudisha mashamba ili vijana waweze kupata ajira"– Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Bomba la mafuta lina fursa nyingi sana kule Tanga,tumewaelimisha wananchi kujiandaa na ujio huu wa bomba hili"– Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Tanga inabadilika sana itakuwa ni Tanga ya waja leo kuondoka ni majaaliwa"– Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Tanga itabadilika sana kwa uwepo wa bomba la mafuta. Itakuwa Tanga waja leo, kuondoka majaliwa" – Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Nawataka wakina dada na akina mama wapambane sana na wasikate tamaa"– Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Bomba la mafuta litaongeza fursa ya ajira, kuboresha bandari na kuifanya Tanga mpya kuzaliwa"  – Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Siku zote mbio huwa zina misukosuko unaweza kuanguka lakini inuka na kuendelea mbele"– Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Siku zote mbio zina misukosuko, Vijana tusikate tamaa mpaka tupate mafanikio" – Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Ukiweza kupambana kwa hali na mali utajiona kilicho ndani yako"  – Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Sipendi kukubali kushindwa wala kukubali kuwa jambo haliwezekani mpaka nione mwisho wake" – Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Walitokea walionikatisha tamaa lakini nilipambana na nikawa makamu mwenyekiti mwanamke wa kwanza" – Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

“Serikali ya awamu ya tano naipenda imekuwa ni serikali ambayo haivuji pesa"Mboni Mhita #VijanaTz

"Ukiwa nje ya Tz Watu wanamsema vizuri sana Rais Magufuli kutokana na uchapaji kazi wake mzuri "Mboni Mhita #VijanaTz

Dunia na nchi yetu ya Tz asilimia kubwa ni #Vijana tuwe na mawazo ya kujiajili"– Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Serikali ione na kuweka mpango mzuri wa kuwandaa vijana kwenye tatizo la ajira"– Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Nakerwa na Watoto wa kike kubaguliwa na kutokupewa fursa sawa na Watoto wa kiume" – Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Siyo haki kuwabagua watoto wa kike kwenye elimu ,hawa ni watu muhimu wathaminiwe na washirikishwe kwenye kila jambo"– Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Wanawake wanayo fursa sawa na Watoto wa kiume. Tuwape fursa sawa" – Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Sipendi kukubali kushindwa wala kukubali kuwa jambo haliwezekani mpaka nione mwisho wa kile ninachokijaribu" – Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Nimeingia kwenye bunge la afrika kwa sababu ya kumpigania kijana wa afrika na wakitanzania kwa ujumla"– Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Wizara inaendelea kuchambua na kutoa fursa zaidi kwa vijana, ninaishukuru zaidi Serikali" – Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Nipo kule kwenye bunge la afrika kama Tanzania na si kama Mboni Mhita"– Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Kuna fursa nyingi kule kwenye bunge la Afrika huwa nazileta hapa Tanzania kwa ajili ya kuwasaidia – Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Hujafanikiwa kuwa kiongozi mpaka uwe umewaandaa na kuwapika viongozi wengine"– Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

"Kama nilivyopikwa na UVCCM, nami napika vijana wengine wapate mafanikio" – Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz

Chapisha Maoni

0 Maoni