Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Kenya Uhuru
Kenyatta kabla ya kuanza mazungumzo yao jijini Kampala nchini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais wa Kenya
Uhuru Kenyatta kabla ya kuanza mazungumzo yao jijini Kampala nchini
Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipongezana na Rais wa Kenya Uhuru
Kenyatta mara baada ya mazungumzo yao Kampala nchini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais wa Kenya
Uhuru Kenyatta mara baada ya kupiga picha ya pamoja na Mawaziri pande
zote mbili za Kenya na Tanzania mara baada ya kikao chao Kampala nchini
Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kikao chake
na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta Kampala jijini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi ajambo na Rais wa Kenya
Uhuru Kenyatta Kampala jijini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Kenya Uhuru
Kenyatta mara baada ya kumaliza kikao chao jijini Kampala jijini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Sudan Kusini
Salva Kiir kabla ya mazungumzo yao jijini Kampala.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Rais wa
Sudan Kusini Salva Kiir Kampala Uganda-
PICHA NA IKULU
0 Maoni