Unordered List


KATIBU MKUU MSTAAFU A. KINANA AMKABIDHI RASMI OFISI KATIBU MKUU MPYA DK. BASHIRU

Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Abdulrahman Kinana akimkabidhi 'zana' Katibu Mkuu mpya wa CCM Dkt. Bashiru Ally, katika makabidhiano ya ofisi yaliyofanyika  Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa CCM Dkt.Bashiru Ally akiwasalimia baadhi ya viongozi alipowasili, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam kwa ajili ya makabidhiano hayo.
Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Abdulrahman Kinana akisalimiana kwa furaha na Katibu Mkuu CCM Dk. Bashiru Ally, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam, Dk. Bashiru alipofika kwa ajili ya makabidhiano hayo.
Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally akiongozana na Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Abdulrahman Kinana, wakati wakienda ofisini kufanya makabidhiano hayo.
Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally akiongozana na Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Abdulrahman Kinana kuingia ukumbini kuzungumza na watumishi wa Chama, katika Ofisi8 Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally akikiwa na Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Abdulrahman Kinana baada ya kufika meza kuu kwa ajili ya kuzungumza na watumishi wa Chama, katika Ofisi8 Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Rodrick Mpogolo.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Humprey Polepole akitoa maneno ya utangulizi.
 Baadhi ya watumishi wa CCM wakiwa ukumbini.
 Baadhi ya watumishi wa Chama wakiwa ukumbini.
  Baadhi ya watumishi wa Chama wakiwa ukumbini
  Baadhi ya watumishi wa Chama wakiwa ukumbini.
 Makatibu Wakuu wa  Jumuia za Chama wa sasa na wastaafu wakiwa ukumbini.
Katibu Mkuu mstaafu wa CCM Abdulrahman Kinana akikumbatiana kwa furaha na Katibu Mkuu wa CCM Dkt.Bashiru Ally baada ya kuzungumza hotuba ya kuaga wafanyakazi wa Chama.
 Katibu Mkuu wa CCM Dkt.Bashiru Ally akizungumza na wafanyakazi wa Chama.
 Kinana akipongeza hotuba ya Dk Bashiru kwa wafanyakazi.
 Picha ya pamoja.
 Picha ya pamoja na Makatibu wasaidizi.
 Picha ya pamoja na watumishi wa Chama cha Mapinduzi.

Chapisha Maoni

0 Maoni