Unordered List


WALICHOKUBALIANA RAIS MAGUFULI NA MNANGANGWA

Rais Dkt. John Magufuli wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais Emerson Mnangangwa wa Zimbabwe jana walikutana jijini Dar es Salaam na kukubaliana masuala kadhaa kuimarisha uhusiano wa nchi zao.

Chapisha Maoni

0 Maoni