Unordered List

ZIARA YA MZEE MANGULA NCHINI CUBA, ATEMBELEA CHUO CHA CHAMA CHA CPC, AZUNGUMZA NA UMOJA WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI NCHINI HUMO

 Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndugu Philip Mangula akizungumza na Mkuu wa Chuo cha Chama cha Kikomunist cha Cuba, Rosario Penton Diaz, jijini Havana nchini humo.

  Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndugu Philip Mangula akizungumza na Mkuu wa Chuo cha Chama cha Kikomunist cha Cuba, Rosario Penton Diaz,  jijini Havana nchini humo.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndugu Philip Mangula akiwa katika mazungumzo na viongozi wa Muungano wa vyama vya wafanyakazi nchini Cuba.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndugu Philip Mangula akifanya mazungumzo  na Naibu Waziri Mambo ya nje Abelardo Moreno mjini Havana.

Chapisha Maoni

0 Maoni