Unordered List


MAKAMU MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM) TANZANIA BARA,PHILIP MANGULA ATEMBELEA BANDA LA NSSF KATIKA MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA-SABASABA

IMG_20180712_124114_296
Kaimu meneja Uhusiano na Masoko wa Shirika la Hifadhi za Jamii Nssf Salim Khalfan akitoa maelezo kwa Makamu mwenyekiti wa Chama CHa Mapinduzi Tanzania Bara Philip Mangula alipotembelea katika maonyesho ya Biashara ya kimataifa yanayoendelea jijini Dar es salaam, pembeni yake ni Mkurugenzi mkuu wa NSSF ,Proffesa Godius Kayharara.
IMG_20180712_124244_989

Chapisha Maoni

0 Maoni