Unordered List


MATUKIO YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA BUNGENI DODOMA LEO

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mvomero,  Suleiman Ahmed Saddiq kwenye Viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 15, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa  Kiembesamaki, Ibrahim Raza kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 15, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Baraza la Wawakilishi, Amina Mabrouk kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 15, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Rufiji, Mohamed Mchegerwa na Mbunge wa Baraza la Wawakilishi, Amina Mabrouk kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 15, 2020. (Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu)

Chapisha Maoni

0 Maoni