Unordered List


MGOMBEA URAIS WA CCM NDUGU DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AJIMWAGA STEJINI NA CHEGE CHIGUNDA KATIKA MKUTANO WA KAMPENI SHINYANGA

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho tawala Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiserebuka na msanii wa Bongo Fleva Chegge Chigunda wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni katika Uwanja wa CCM Kambarage mjini Shinyanga Alhamisi Septemba 3, 2020

Chapisha Maoni

0 Maoni