Unordered List


CCM YAFUNGA KAMPENI ZA UCHAGUZI JIMBO LA BUHIGWE KWA KISHINDO.


Mjumbe wa Kamati Kuu ya H/Kuu ya Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Philip Isdor Mpango akimnadi Mgombea wa CCM Ndugu Kavejuru.
Katibu wa H/Kuu ya Taifa SUKI Ndg Ngemela Lubinga akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Muyama kumuombea kura Ndugu Kavejuru.

Katibu wa H/Kuu ya Taifa SUKI Ndg Ngemela Lubinga akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Muyama kumuombea kura Ndugu Kavejuru.
Katibu wa H/Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka akielekeza namna ya kupiga kura kumchagua Ndg Felix Kavejuru Mgombea Ubunge wa Jimbo Buhigwe.
Meza Kuu
    

Katibu wa H/Kuu ya Taifa SUKI Ndg Ngemela Lubinga akizungumza na katibu wa H/Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka hamdu Shaka. 

Mgombea ubunge Jimbo la Buhigwe Ndugu Felix Kavejuru akionyesha mfano wa karatasi ya kura kwa wapigakura wa Kijiji cha Muyama. 

Mgombea ubunge Jimbo la Buhigwe Ndugu Felix Kavejuru akiomba kura kwa  wananchi wa Kijiji cha Muyama. 

  
                                             Sehemu ya Wananchi waliohudhulia mkutano huo


                                                 Sehemu ya Wananchi waliohudhulia mkutano huo


Sehemu ya wabunge waliohudhuria mkutano huo

Picha ya Katibu wa H/Kuu ya Taifa Oganaizesheni Ndg Moudline Cyrus Castico akiwa pamoja na kADA Wa Chama Cha Mapinduzi ndg Razalo Nyalandu.
  Bendi ya TOT ikitoa burudani katika Mkutano wa Kufunga kampeni za Mgombea Ubunge katika Jimbo la Mihambwe katika Viwanja vya Shule ya Msingi Muyama. (PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI)




 

Chapisha Maoni

0 Maoni