Unordered List


KATIBU MKUU WA CCM CHONGOLO AONGOZA WAJUMBE WA SEKRETARIETI KUHANI MSIBA PAMOJA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA ASKOFU MKUU WA KANISA LA (TAG)DR BARNABAS MKOANI MOROGORO.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa aliyekuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa kutoka Mkoa wa Morogoro Marehemu Hassan Masoud Mamba (Bantu) alipofika kuhani msiba wa Kiongozi huyo leo tarehe 21 Mei 2021, Morogoro.  
Naibu Katibu Mkuu Bara Ndugu Christina Mndeme akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa aliyekuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa kutoka Mkoa wa Morogoro Marehemu Hassan Masoud Mamba (Bantu) alipofika kuhani msiba wa Kiongozi huyo leo tarehe 21 Mei 2021, Morogoro. 
Katibu wa Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Ndg Ngemela Lubinga akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa aliyekuwa Mjumbe wa H/Kuu ya Taifa kutoka Mkoa wa Morogoro Marehemu Hassan Masoud Mamba (Bantu) alipofika kuhani msiba wa Kiongozi huyo leo tarehe 21 Mei 2021, Morogoro. 
Katibu wa H/Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa aliyekuwa Mjumbe wa H/Kuu ya Taifa kutoka Mkoa wa Morogoro Marehemu Hassan Masoud Mamba (Bantu) alipofika kuhani msiba wa Kiongozi huyo leo tarehe 21 Mei 2021, Morogoro. 
Katibu Mkuu wa UWT ndg Queen Mlozi akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa aliyekuwa Mjumbe wa H/Kuu ya Taifa kutoka Mkoa wa Morogoro Marehemu Hassan Masoud Mamba (Bantu) alipofika kuhani msiba wa Kiongozi huyo leo tarehe 21 Mei 2021, Morogoro.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Morogoro Mjini ndg Fikir Juma akitoa maelezo kwa Viongozi wa Sekretarieti ya CCM nyumbani kwa aliyekuwa Mjumbe wa H/Kuu ya Taifa kutoka Mkoa wa Morogoro Marehemu Hassan Masoud Mamba (Bantu) alipofika kuhani msiba wa Kiongozi huyo leo tarehe 21 Mei 2021, Morogoro.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ndg Daniel Chongolo akiwa na mama mzazi wa aliyekuwa Mjumbe wa H/Kuu ya Taifa kutoka Mkoa wa Morogoro Marehemu Hassan Masoud Mamba (Bantu) alipofika kuhani msiba wa Kiongozi huyo leo tarehe 21 Mei 2021, Morogoro.
Katibu Mkuu Ndugu Daniel Chongolo akitoa pole kwa familia ya marehemu aliyekuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa kutoka Mkoa wa Morogoro Marehemu Hassan Masoud (Bantu) nyumbani kwa Marehemu, Kata ya Boma, Morogoro Mjini leo tarehe 21 Mei 2021
Katibu Mkuu Ndugu Daniel Chongolo akitoa rambirambi za Chama cha Mapinduzi kwa mwana familia.
Msemaji wa Familia akitoa neno la Shukrani

Askofu Mkuu wa Makanisa ya Pentekosti Tanzania (TAG) Dr Barnabas Mtokambali, akizungumza na Katibu Mkuu Ndg Daniel Chongolo aliyeongoza wajumbe wa Sekretarieti ya Taifa kukutana na kuzungumza.
Pichani ni Askofu Mkuu wa Makanisa ya Pentekosti Tanzania (TAG) Dr Barnabas Mtokambali, mara baada ya kumkabidhi kitabu cha BIBLIA YA MAFUNZO YA UZIMA TELE Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi taifa ndg Daniel Chongolo ambapo katika mazungumzo yao aliwaasa  viongozi hao juu ya uadilifu na kulinda haki za watu wanaowaongoza.
Katibu mkuu wa CCM ndg Daniel Chongolo akizungumza.
Ibada ya Sala

Picha ya pamoja ya Wajumbe wa Sekretarieti ya Taifa,Viongozi wa Mkoa wa Morogoro pamoja na Askofu Mkuu wa Makanisa ya Pentekosti Tanzania (TAG) Dr Barnabas Mtokambali.

Chapisha Maoni

0 Maoni