Unordered List


SEKRETARIET MPYA YA CCM YAPOKELEWA KWA KISHINDO JIJINI DODOMA.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Daniel Chongolo akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma ndg Godwin Mkanwa (kwanza kulia)mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya CCM Mkoa wa Dodoma
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Daniel Chongolo akivikwa Skafu na kijana wa Hamasa na Itifaki Mkoa wa Dodoma.


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Daniel Chongolo  akisaini kitabu cha wageni katika ofisi za CCM mkoa wa Dodoma

Sehemu ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi waliohudhuria mkutano huo.

Makatibu wakuu wa jumuiya za Chama cha mapinduzi (Kulia) Ndg Raymond Mwangwala katibu mkuu UVCCM,ndg Queen Mlozi katibu Mkuu UWT pamoja na ndg Erasto sima katibu mkuu wa Wazazi Taifa.
Meza kuu ikifurahia jambo
Mjumbe wa kamati kuu na Waziri mkuu Mstaafu Ndg Mizengo Pinda akizungumza katika mkutano wa mapokezi na utambulisho wa sekretariet mpya ya ccm taifa.
Sehemu ya wabunge na viongozi mbali mbali waliohudhuria katika mkutano wa mapokezi na utambulisho wa sekretariet mpya ya ccm taifa.

Wazee wa kimila wa Mkoa wa Dodoma wakimsimika uongozi wa jamii ya wa gogo na kumpa jina la Chief Nzuguni
Kikundi cha burudani


Wanachama wakishangilia katika mkutano wa mapokezi na utambulisho wa sekretariet mpya ya ccm taifa.

Katibu wa Halmashauri kuu Itikadi na uenezi ndg Shaka Hamdu Shaka akizungumza katika mkutano wa mapokezi na utambulisho wa sekretariet mpya ya ccm taifa.

Naibu katibu mkuu wa CCM Bara ndg Christina Mdeme akizungumza katika mkutano wa mapokezi na utambulisho wa sekretariet mpya ya ccm taifa.



Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Ndg Daniel Chongolo akihutubia  mkutano wa mapokezi na utambulisho wa sekretariet mpya ya ccm taifa uliofanyika katika uwanja wa ofisi za CCM Mkoa wa Dodoma.


 

Chapisha Maoni

0 Maoni