Unordered List


MWENYEKITI WA CCM NA RAIS WA JAMHURI YA MUUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM.





Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiimba alipo wasili katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi NEC, kilichokutana leo Juni 29,2021 katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Mkamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibara Ndg Ali Mohammed Shein

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi NEC, kilichokutana leo Juni 29,2021 katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Jijini Dodoma.


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Akizungumza katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi NEC, kilichokutana leo Juni 29,2021 katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Jijini Dodoma.

Katibu wa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka akizungumza katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi NEC, kilichokutana leo Juni 29,2021 katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Jijini Dodoma.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg Hussein Mwinyi katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi NEC, kilichokutana leo Juni 29,2021 katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Jijini Dodoma.

wajumb

Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndg Philip Mangula akiwa katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi NEC, kilichokutana leo Juni 29,2021 katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Jijini Dodoma.





 

Chapisha Maoni

0 Maoni