Unordered List


CHONGOLO AHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI WILAYA YA MBEYA MJINI KWA KUKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA YA MBEYA ,LEO JULAI 13,2021.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg Daniel Chongolo  akisaliana na Viongozi wa Chama Wilaya ya Mbeya Mjini alipopokelewa katika Stendi ya Uyole kata ya uyole katika ziara ya kikazi ya Kuimarisha Chama Mashinani pamoja na kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020-2025 Leo Julai 13 2020.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg Daniel Chongolo  akizungumza  na Viongozi na wanachama m Wilaya ya Mbeya Mjini alipopokelewa katika Stendi ya Uyole kata ya uyole katika ziara ya kikazi ya Kuimarisha Chama Mashinani pamoja na kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020-2025 Leo Julai 13 2020.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg Daniel Chongolo  akifurahi wakati akizungumza na Viongozi na wanaChama  Wilaya ya Mbeya Mjini alipopokelewa katika Stendi ya Uyole kata ya uyole katika ziara ya kikazi ya Kuimarisha Chama Mashinani pamoja na kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020-2025 Leo Julai 13 2020.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg Daniel Chongolo  akizungumza na Balozi   wa Shina namba 4 tawi la Nsalaga  katika kata ya Nsalaga Ndg Mussa Mwakandulu   katika ziara ya kikazi ya Kuimarisha Chama Mashinani  katika shina hiloLeo Julai 13 2020.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg Daniel Chongolo  akitoa Vitendea kazi kwa Balozi wa Shina Namba 4 wa Tawi la Nsalaga kata ya Nsalaga  katika ziara ya kikazi ya Kuimarisha Chama Mashinani  Leo Julai 13 2020.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg Daniel Chongolo  akizungumza na Wanachama wa Ubalozi wa Shina namba 4 tawi la Nsalaga  Leo Julai 13 2020.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg Daniel Chongolo  akizungumza na Wanachama wa Ubalozi wa Shina namba 16 Kata ya Iganza  (kulia) ni balozi wa shina hilo Ndg Boniface Mwansomola Leo Julai 13 2020.

Sehemu ya Wanachama waliohudhulia mkutano huo

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg Daniel Chongolo (kulia) akimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mbeya wakati wa kuwasilisha taarifa ya maendeleo ya Ujenzi huo leo Julai 13,2021.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg Daniel Chongolo  akimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mbeya wakati wa kuwasilisha taarifa ya maendeleo ya Ujenzi huo leo Julai 13,2021.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg Daniel Chongolo akipakia mchanga kwenye ndoo akiwasaidia wadada Vibarua katika Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mbeya wakati wa kuwasilisha taarifa ya maendeleo ya Ujenzi huo leo Julai 13,2021.


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg Daniel Chongolo (kulia)akikagua  maendeleo ya  Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mbeya  akiongozwa na Injinia Jonson Pamera  Msimamizi wa mradi huo  leo Julai 13,2021.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg Daniel Chongolo (kulia)akikagua  maendeleo ya  Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mbeya  akiongozwa na Injinia Jonson Pamera  Msimamizi wa mradi huo  leo Julai 13,2021.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg Daniel Chongolo (kulia)akikagua  maendeleo ya  Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mbeya  leo Julai 13,2021. (PICHA NA CCM MAKAO MAKUU)






 

Chapisha Maoni

0 Maoni