Unordered List


SEKRETARIET YA CCM TAIFA YAPOKELEWA KWA KISHINDO VISIWANI ZANZIBAR LEO JULAI 04/2020.

 _C6A0681.jpg_C6A0646.jpg
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Daniel Chongolo akizungumza katika Mkutano wa Mapokezi uliofanyika Afisi Kuu ya Chama, Kisiwandui mjini Unguja.
_C6A0569.jpg
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Ndg Christina Mdeme akizungumza katika Mkutano wa Mapokezi uliofanyika Afisi Kuu ya Chama, Kisiwandui mjini Unguja,
_C6A0505.jpg
_C6A0502.jpg
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa   ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka akizungumza katika Mkutano wa Mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo uliofanyika Afisi Kuu ya Chama, Kisiwandui mjini Unguja.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa   ya CCM, uchumi na fedha, Ndg Frank Awasi akizungumza katika Mkutano wa Mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo uliofanyika Afisi Kuu ya Chama, Kisiwandui mjini Unguja.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa   ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Ngemela Lubinga akizungumza katika Mkutano wa Mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo uliofanyika Afisi Kuu ya Chama, Kisiwandui mjini Unguja.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa   ya CCM, Oganaizesheni Ndg Mudrick Kastiko  akizungumza katika Mkutano wa Mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo uliofanyika Afisi Kuu ya Chama, Kisiwandui mjini Unguja.

Katibu Mkuu wz UWT Ndg Queen Mlozi akizungumza katika Mkutano wa Mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo uliofanyika Afisi Kuu ya Chama, Kisiwandui mjini Unguja.
_C6A0405.jpg
Katibuwa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Kenani Kihongosi akizungumza katika Mkutano wa Mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo uliofanyika Afisi Kuu ya Chama, Kisiwandui mjini Unguja,

_C6A0385.jpg_C6A0384.jpg
Shangwe la Vijana wa Hamasa  katika Mkutano wa Mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo uliofanyika Afisi Kuu ya Chama, Kisiwandui mjini Unguja,

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Daniel Chongolo akiweka shada katika kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Amani Abeid Karume katika Afisi Kuu ya Chama, Kisiwandui mjini Unguja, jana.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Daniel Chongolo akivishwa shada baada ya kuwasili Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui mjini Unguja, jana_C6A0299.jpg


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Daniel Chongolo akiongoza Matembezi ya Viongozi na wanachama akielekea  katika Mkutano wa Mapokezi uliofanyika Afisi Kuu ya Chama, Kisiwandui mjini Unguja, . (PICHA NA FAHADI  SIRAJI CCM)
x

Chapisha Maoni

0 Maoni