Jumapili, 24 Novemba 2013

Zíara ya mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Arusha wilaya ya Arusha mjini

Zíara ya mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Arusha wilaya ya Arusha mjini

embayo iliambatana na uzinduzi wa mashina nane ndani ya jiji la Arusha ambapo zaidi ya wanachama 800 walipokea kadi za UVCCM


 mwenyekiti wa mkoa akisaini kitabu cha wageni ofisi ya UVCCM wilaya ya Arusha mjini ilikuanza rasmi ziara


 M/kiti wa Uvccm Wilaya Arusha Mjini Ndg. Martin Munisi Marti akipandisha bendera kuashiria kuzinduliwa rasmi kwa moja ya mashina ya wakereketwa ya ccm jana jijini arusha zoezi lililoendana na mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika kwenye eneo la soko kuu jijini jana na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa ccm wilaya na mkoa, shukrani za kipekee zimwendee m/ kiti wa UVCCM MKOA WA ARUSHA Ndg.Robinson meitinyiku kwa hotuba nzuri na yenye kuwaleta wana arusha pamoja.Viva UVCCM Viva, Viva ccm viva.
 Uzuri wa Gwanda la CCM huashiria Upendo na Amani hasa Matumaini kwa Watanzania

 
Upepeaji wa Bendera Hii unaonyesha wazi kuwa Hapa kuna Uhai na Ukombozi kwa Wana Arusha kwani Bendera inapepea kwa Afya.
 

 Umati wa Watanzania walijitokeza kuaja kusikiliza Mkutano Huo
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu