Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimpokea mjane wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Waziri Mwandamizi Mstafu Marehemu Samuel Sitta, Mama
Margaret Sitta (kushoto) mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege
wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.Jeneza
lenye mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Waziri Mwandamizi Mstafu Marehemu Samuel Sitta likiwa
limebebwa na askari mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiwaongoza viongozi mbali mbali wakati wa mapokezi ya mwili wa Spika
Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mwandamizi
Mstafu Marehemu Samuel SittaMakamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
pamoja na Katibu Mkuu wa UWT Mhe. Amina Makilagi (kushoto) wakimfariji
akimfariji Mama Margaret Sitta (katikati) wakati wa mapokezi ya mwili wa
Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri
Mwandamizi Mstafu Marehemu Samuel Sitta kwenye uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
0 Maoni