Msafara
 wa Mgombea Ubunge katika Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi
 ya CCM,Ridhiwani Kikwete ukielekea kwenye Mkutano wa Kampeni katika 
Kijiji cha Mindukene,Kata ya Talawanda ndani ya Jimbo la Chalinze
Ukafika
 wakati wa Chakula cha Mchana na wakaingia kwenye kibanda ya Mama ntilie
 ndani ya Kijiji cha Msigi na kuanza kupata msosi.
 Mbunge
 a Jimbo la Mchinga,Mh. Said Mtanda (kulia) akiwahutubia wananchi wa 
kijiji cha Mindukene,Kata ya Talawanda ndani ya Jimbo la Chalinze leo 
Machi 18,2014,wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Ubunge wa Jimbo la
 Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete (wa pili kushoto 
walioketi).
 Mgombea
 Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete 
(kushoto) akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mindukene,Kata ya 
Talawanda ndani ya Jimbo la Chalinze leo Machi 18,2014.Katika Mikutano 
yake kwenye Vijiji vya Mindukene, Msigi na Kisanga ndani ya Jimbo 
hilo,Ridhiwani Kikwete ameahidi kuhakikisha vijiji vyote kwenye jimbo 
hilo vinakuwa na matrekta ili kuboresha kilimo.
Wananchi
 wa Kijiji cha Mindukene,Kata ya Talawanda ndani ya Jimbo la Chalinze 
wakimsikiliwa kwa makini Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi 
ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete.
Mgombea
 Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete 
akilakiwa na wanakijiji wa Kijiji cha Msigi Kata ya Talawanda ndani ya 
Jimbo la Chalinze leo Machi 18,2014.
Mgombea
 Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Jakaya Kikwete
 (kati) akiwa na Mwenyekiti wa Kata ya Talawanda pamoja na Binti Mmoja 
wa Jamii ya Wafugaji alieomba kupata picha na Mgombea.
Mgombea akitoka kwa Mama Ntilie baada ya kupata msosi.
Mgombea
 Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete 
akiwasalimia wananchi wa kijiji cha Msigi,Kata ya Talawanda ndani ya 
Jimbo la Chalinze leo Machi 18,2014.
Wana Msigi.
Meneja wa Kampeni za CCM Jimbo la Chalinze,Steven Kazidi akifanya vitu vyake.
Wazee wakifurahi jambo wakati wa Hotuba ya Mgombea wao.
Furaha inapobidi.
Moja
 ya Changamoto ambazo Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya 
CCM,Ridhiwani Kikwete amesema atakabiliana nazo pindi atakapopata ridhaa
 ya kuwa kiongozi wa wana Chalinze ni kusimia ukarabati wa Barabara 
katika vijiji mbali mbali ndani ya Jimbo hilo,moja wapo ikiwa ni hii 
inayotoka Msigi mpaka Kisanga.
Burudani ya Ngoma za Asili.
MwanaCCM akifatilia Mkutano kwa umakini.



























 
1 Maoni