Jumanne, 16 Septemba 2014

CCM YATIKISA KIBITI  • Apokea viongozi wawli kutoka upinzani
  • Ataka serikali kuangalia upya sheria za utumishi.
 Katbu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Kibiti mjini ambapo alisema kuna haja ya serikali kubadiliksha baadhi ya sheria katika Utumishi wa serikali kwani zitasaidia kupata watumishi bora wenye kuzingatia wajibu wao.

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Kibiti mjini.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimtambulisha Selemani Ndumbogani aliyekuwa katibu wa jimbo  wa Chadema ambaye amerudi rasmi CCM.
Mwingine aliyerudi CCM ni BwanaKhalfani Lipiluka Mtandika aliyekuwa mgombea wa Udiwani  CUF Kibiti.
 Wafanya biashara ndogo ndogo wakifuatilia kwa makini mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahmani Kinana.
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu