Diwani
wa Kata ya Pugu, Boniventure Mphuru akiwa na Muanzilishi wa Mradi wa
CLEAN WATER SANITATION AND HYGIENE ambaye pia ni Miss Ubungo 2014, Diana
Joachimu Kato wakiongozana na Wanafunzi wa shule ya Msingi minazi
mirefu, Ukonga Jijini Dar es salaam Juni 5, 2017 wakati wa zoezi la
kuadhimisha siku ya Mazingira Duniani, ambapo walifanya usafi katika
eneo lote la shule hiyo pamoja na kupanda miti.
Diwani wa Kata ya Pugu, Boniventure Mphuru akiwa na Muanzilishi wa Mradi
wa CLEAN WATER SANITATION AND HYGIENE ambaye pia ni Miss Ubungo 2014,
Diana Joachimu Kato wakijiandaa kupanda mti katika moja ya eneo la shule ya Msingi minazi mirefu Juni 5, 2017.
Diwani wa Kata ya Pugu, Boniventure Mphuru akipanda mti katika eneo la shule ya Msingi minazi mirefu Juni 5, 2017.
Muanzilishi wa Mradi
wa CLEAN WATER SANITATION AND HYGIENE ambaye pia ni Miss Ubungo 2014,
Diana Joachimu Kato akipanda mti shuleni hapo.
0 Maoni