Baadhi ya
watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Ilemela na Nyamagana
wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao
kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza
Sehemu ya watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Ilemela na Nyamagana wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza |
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya wilaya
ya Nyamagana na Ilemela kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya wilaya
ya Nyamagana na Ilemela kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea kiwanda cha mabati cha Dragon kilichopo Nyamagana jijini Mwanza Februari 20, 2018.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi kadi ya matibabu ya bure kwa wazee,
Robert Chenge Manyenye kwenye Zahanati ya Bulale wilayani Nyamagana
Februari 19, 2018. Katikati ni Mkuu wa wilaya ya Nyamagana, Mary Tesha
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana ni viongozi wa dini baada ya kutoa
vitambulisho vya matibabu ya bure kwa wazee katika zahanati ya Bulale
wilayani Nyamgana Februari 20, 2019.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji
wa kiwanda cha Mwanza Plastics, Joel Makanyaga (kushoto) kuhusu mabomba
ya maji yanyotengenezwa na kiwanda hicho wakati alipokitembelea jijini
Mwanza
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kuhusu utengenezaji wa mabomba
ya maji kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha Mwanza Plastics,
Joel Makanyaga (kushoto) wakati alipotembelea kiwanda hicho jijini
Mwanza Februari 20, 2018.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea mabomba ya maji yenye urefu wa kilomita
tano kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha Mwanza Plastics,
Joel Makanyaga wakati alipotembelea kiwanda hicho jijini Mwanza ,
Februari 20, 2018. Kulia ni Mbunge wa Ilemela na Naibu Waziri wa Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina mabulla. Mabomba hayo yatatumika
kupeleka maji katika Kituo cha Afya cha Karume kilichopo kata ya
Bugogwa wilayani Ilemela.
0 Maoni