Unordered List


MWENYEKITI WA UMOJA WA VIJANA WA CCM TAIFA NDUGU KHERI JAMES AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOA WA DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa Umoja wa  Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Comred Kheri Denice James (MCC) leo ameanza Ziara yake ya Kikazi katika Mkoa wa Dar es Salaam na kupokelewa na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa Ndugu Mussa Kilakala.

Mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Kheri Denice James alizungumza na Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM pamoja na Kamati ya Siasa Mkoa wa Dar Es Salaam iliyoongozwa na Mwenyekiti Ndugu Cathy Kamba.

Katika kuanza kwa Ziara hii, leo atakutana na kufanya Mazungumzo na Kamati ya Siasa Ya Wilaya ya Kigamboni pamoja na Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM Wilaya ya Kigamboni.







Chapisha Maoni

0 Maoni