Alhamisi, 20 Machi 2014

Msafara wa Mgombea Ubunge katika Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Kikwete ukielekea kwenye Mkutano wa Kampeni katika Kijiji cha Mindukene,Kata ya Talawanda ndani ya Jimbo la Chalinze

 Msafara wa Mgombea Ubunge katika Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Kikwete ukielekea kwenye Mkutano wa Kampeni katika Kijiji cha Mindukene,Kata ya Talawanda ndani ya Jimbo la ChalinzeUkafika wakati wa Chakula cha Mchana na wakaingia kwenye kibanda ya Mama ntilie ndani ya Kijiji cha Msigi na kuanza kupata msosi.

 Mbunge a Jimbo la Mchinga,Mh. Said Mtanda (kulia) akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mindukene,Kata ya Talawanda ndani ya Jimbo la Chalinze leo Machi 18,2014,wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete (wa pili kushoto walioketi).
 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete (kushoto) akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mindukene,Kata ya Talawanda ndani ya Jimbo la Chalinze leo Machi 18,2014.Katika Mikutano yake kwenye Vijiji vya Mindukene, Msigi na Kisanga ndani ya Jimbo hilo,Ridhiwani Kikwete ameahidi kuhakikisha vijiji vyote kwenye jimbo hilo vinakuwa na matrekta ili kuboresha kilimo.
Wananchi wa Kijiji cha Mindukene,Kata ya Talawanda ndani ya Jimbo la Chalinze wakimsikiliwa kwa makini Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akilakiwa na wanakijiji wa Kijiji cha Msigi Kata ya Talawanda ndani ya Jimbo la Chalinze leo Machi 18,2014.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akisikiliza kwa Makini hotuba ya Mwenyekiti wa Kijiji hicho,Mzee Juma Mwinyigoha (hayupo pichani).
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Jakaya Kikwete (kati) akiwa na Mwenyekiti wa Kata ya Talawanda pamoja na Binti Mmoja wa Jamii ya Wafugaji alieomba kupata picha na Mgombea.
Mgombea akitoka kwa Mama Ntilie baada ya kupata msosi.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwasalimia wananchi wa kijiji cha Msigi,Kata ya Talawanda ndani ya Jimbo la Chalinze leo Machi 18,2014.
Wana Msigi.
Meneja wa Kampeni za CCM Jimbo la Chalinze,Steven Kazidi akifanya vitu vyake.
Wazee wakifurahi jambo wakati wa Hotuba ya Mgombea wao.
Furaha inapobidi.
Moja ya Changamoto ambazo Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Kikwete amesema atakabiliana nazo pindi atakapopata ridhaa ya kuwa kiongozi wa wana Chalinze ni kusimia ukarabati wa Barabara katika vijiji mbali mbali ndani ya Jimbo hilo,moja wapo ikiwa ni hii inayotoka Msigi mpaka Kisanga.
Burudani ya Ngoma za Asili.
MwanaCCM akifatilia Mkutano kwa umakini.
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Gadget

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu