Unordered List


MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AZINDUA HARAMBEE YA KUCHANGIA TIMU YA TAIFA STARS

F87A0166
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hundi ya Shilingi Milioni 10 kutoka kwa Viongozi wa CRDB Bank ikiwa ni mchango kwa Timu ya Taifa Stars kwenye Harambee ya kuchangia Timu ya Taifa Stars ilioyofanyika leo Juni 20, 2019 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar Es Salaam ambapo Jumla ya Shilingi Milioni 370 zilichangishwa hapo hapo.F87A0092

F87A0097

F87A0128

F87A0140
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa kuzindua Harambee ya kuchangia Timu ya Taifa Stars ulioyofanyika leo Juni 20, 2019 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar Es Salaam ambapo Jumla ya Shilingi Milioni 370 zilichangishwa hapo hapo.
F87A0153
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka saini kwenye Jezi Mpya ya Timu ya Taifa Stars ikiwa ni ishara ya Uzinduzi wa Jezi hiyo wakati wa Harambee ya kuchangia Timu ya Taifa Stars ilioyofanyika leo Juni 20, 2019 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar Es Salaam ambapo Jumla ya Shilingi Milioni 370 zilichangishwa hapo hapo.
F87A0208

F87A0214

F87A0258

F87A0309
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wachangiaji kwenye Harambee ya kuchangia Timu ya Taifa Stars ilioyofanyika leo Juni 20, 2019 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar Es Salaam ambapo Jumla ya Shilingi Milioni 370 zilichangishwa hapo hapo.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
F87A0359
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na msemaji wa Timu ya Simba Haji Manara kwenye Harambee ya kuchangia Timu ya Taifa Stars ilioyofanyika leo Juni 20, 2019 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar Es Salaam ambapo Jumla ya Shilingi Milioni 370 zilichangishwa hapo hapo.

Chapisha Maoni

0 Maoni